Habar wadau. Leo asubuhi nimeamka nikiwa na ratiba zangu za kila siku. Ratiba ya kwanza ni kununua vitu vya shop na kuanza na ratiba zingine.
Nikampigia jamaa wa duka la jumla nikitaji sembe. Akaniambia kaka sembe imepanda kwa kuwa nilizoea elfu 41. Nikajua itakuwa elfu 42. Jamaa akasema hana...
23 FEBRUARY 2023
The United Nations, meeting in New York, has voted to DEMAND Russia withdraw from Ukraine "immediately and Unconditionally." The vote was 141 in favor, 7 opposed, with 32 abstaining.
The same UN that indefinitely delayed the meeting about the Nord Stream pipeline being...
Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme.
Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka.
Juzi vyombo vya...
WAKUU,
Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa...
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa...
TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi.
Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
Kwa mujibu wa mtandao wa cnn , tanzania ni moja ya sehemu bora na imewashauri watalii kuitembelea. Na ni nchi mbili tu kwa Afrika zilizotajwa nyengine ni Rwanda japokua Rwanda haikutajwa kama nchi ili kuna hoteli, sextarion Rwanda, ndio imepigiwa chapuo.
Ila Tanzania imetajwa kama nchi na...
Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote.
Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea.
Nitakumbuka...
Mwanahabari mkongwe Absalom Kibanda ametoa maoni yake kuhusu umuhimu wa Serikali kufanya kazi kwa ukaribu na Vyombo vya Habari ambapo kwa asilimia kubwa amelaumu mazingira ya tata baina ya pande hizo mbili.
Akitoa maoni katika Kongamano lililohusisha Wadau wa Habari, Serikali na Waandishi...
Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma.
Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro.
===
Balozi wa Tanzania...
Sunday, December 04, 2022
Remember
Snowden? He’s the man who revealed that the US government says it’s not a crime to spy on the American people, only a crime to expose that illegal and unconstitutional spying. Well, forty years ago, fake news and disinformation coming from the US government...
Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria
===
NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji...
Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah!
=======
BREAKING NEWS
DARK DAY FOR ZAMBIA
Shattered dreams, Sorry Computer
Enock Mwepu has been forced to...
Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu.
Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3!
Yanga instructed...
Daily News leo, ukurasa mzima limejitapa na Bodi yake mpya iliyozinduliwa na Waziri wa Habari, Nape Nnauye.
Lakini ukurasa wa 6 kuna kichekesho cha kiingereza.
Nadhani Editor jana aliondoka mapema na hakuhariri.
Hivyo Bodi inapokelewa na hii heading
"Mikumi National Park- home of lion climbing...
Sporting Lisbon ya Ureno imetenga USD millioni 10 kumnunua Fei Toto mwezi wa Januari. Hiyo itakuwa ofa ya pili kwa Yanga kuingiza mabilioni baada ya kumuuza Clement Mziza kinako club ya Marseille ya France.
Fei Toto atavunja rekodi ya mchezaji ghali kuuzwa kutoka Ligi ya Afrika.
BREAKING
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya Kisiasa na Kiuchumi na aliyekuwa Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) bwana Ibrahim Jeremiah achukua fomu ya kuwania nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi kupitia Viti 15 vya Tanzania Bara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.