news

  1. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  2. N

    Good news kwa Yanga: Mvurugano Al Hilal waihofia Yanga, Ibenge kachanganyikiwa

    Baaada ya Yanga kuichakaza team ngumu ya Sudan Kusini kwa bao 9-0 (yes ni ngumu ni mabingwa na siyo dhaifu kama unabisha na wewe ni dhaifu maana mayelle alikupiga bao 2) hali hapo jijini Khartoum siyo nzuri kwa vigogo wa team. Jana baada ya ushindi wa magumashi dhidi ya team dhaifu ya waimba...
  3. N

    Wanazuoni naomba kuuliza tofauti ya fake news na propaganda : case study of Russia ukraine war

    Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani. Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
  4. N

    Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  5. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

    Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. --- Watu nane wamefariki...
  6. Kurunzi

    Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  7. U

    Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  8. Pascal Mayalla

    Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

    Wanabodi Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital. Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda...
  9. N

    Goodnews: Pape Sakho apenya 3 bora nominees goal bora

    Baada ya mchujo mkali hawa ndiyo watakaotengewa meza zao siku ya sherehe hapo morroco,may God bless POS abebe hii tuzo
  10. Expensive life

    Kuhonga mwisho 10k

    Leo tumekaa kikao wanaume wote tuliowa na wasio owa tumekubaliana wote kwa kauli moja, kumuhonga mwanamke mwisho sh. Elfu kumi hili halina mjadala. Wanawake jishughulisheni wanaume tumezinduka kutoka usingizini hatuongi tena magari, nyumba, viwanja etc. Ni mwendo wa kumi kumi tu.
  11. T

    Risasi zinarindima Kigamboni darajani

    Sijui nini kimetokea Tumeinama muda huu
  12. U

    News alert: Klabu ya Simba Yamtema rasmi Morrison

    Tafadhali fungua kiambatanisho chenye taarifa rasmi Kutoka Klabu ya Simba KaziIendelee Ubingwa kwa Wananchi uko palepale
  13. Rhz4567

    Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi

    HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...
  14. Magazetini

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  15. U

    Rais wa Ukraine alaani vikali ziara ya Katibu Mkuu wa UN jijini Moscow

    Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv. Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
  16. Thread Starter

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  17. N

    China Wapeleka ndege za Jeshi kwenye anga ya Taiwan

  18. Richard

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  19. support wpn

    Tetesi: Tetemeko la ardhi Kigoma leo alfajiri

    Kuna tetemeko dogo limepiga Leo kigoma wilaya ya buhigwe alfajiri
  20. Super Handsome

    Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
Back
Top Bottom