Watu wameshakujua kuwa wewe ni mtu wa kuwinda pesa tu .
Haijalishi kuwa Mzee mtei kuwa ni mzee wako na kuwa ni muasisi basi ndio ung'ag'ane kana kwamba Chadema ni private property.
Chadema ni mali ya umma. Umekuwa mwenyekiti miaka 20+ lakini huna maendeleo na chama chetu.
Chadema ni mali ya...
Uwajibikaji ni jukumu muhimu katika ngazi ya familia. Kila mwanafamilia anapaswa kuchukua jukumu la kuchangia na kuhakikisha ustawi wa familia nzima. Hapa kuna maeneo muhimu ya uwajibikaji katika ngazi ya familia:
Uwajibikaji wa kifedha: Kila mwanafamilia anapaswa kuchangia katika mahitaji ya...
MBUNGE DKT. PIUS CHAYA AMEIOMBA SERIKALI CHUO CHA AFYA NGAZI YA CHETI
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya akiuliza swali lake kwenye wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Jumatatu Mei 22, 2023 bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa Manyoni Mashariki (CCM), Dk Pius Chaya ameomba...
UTANGULIZI.
Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa mambo mengi yanafanyika kwa njia ya mtandao na mifumo ya kompyuta, sekta ya afya inatumia mifumo ya afya kukamilisha huduma kwa wagonjwa ambapo taarifa zote zinakuwepo katika mfumo huo.
Kila hospitali inatumia mfumo wake kulingana na...
Kila kukiwa na mechi nzuri lazima umeme ukate nusu saa kabla ya mechi au nusu saa baada ya mechi. Huu ni uhujumu uchumi.
Tf wanakata umeme sahz wakati game ndo inaanza second half.
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.
Ngazi za kuingilia mlangoni zimechomolewa kwa kigezo kuwa zimekiuka sheria.
Tayari tunaanza kutoa course ya Uchawa ngazi ya Certificate, Diploma na Degree. Bado mchakato wa kuto Masters unaendelea.
Kutokana na kuwepo fursa mbalimbali katika Dunia yetu hasa nchini TZ na kuangalia namna ya kusaidia wananchi tayari course hii imeanza kutolewa kwa aliye tayari tuwasiliane...
Hili lilikuwa letu. Hili halikuwa la Samia, Majaliwa wala Kadogosa.
Wenye nchi tulikuwa sisi. Tena si wa wakulalama. Bali kuwafurusha wote na kuwataka kurejesha vilivyo vyetu na viboko juu.
Haya yametokea Rais yupo? Waziri mkuu yupo? Kadogosa yupo? Kumbe walikuwa na kazi gani?
Maajabu ya...
Sina haja ya kuelezea UDIKITEA ni nini, ila kwa kifupi tu,"ni utawala na amri za watawala na sheria utake usitake, kifamilia, nimegundua familia ambazo wazazi ni wakali{ukali wa kimaadili}, ndio wanaozalisha wasomi wakubwa, viongozi wa dini, wafanyabiashara wakubwa wenye nidhamu ya pesa...
Mojawapo ya mambo ambayo hawa waitwao ‘viongozi’ wetu wanayaweza ni kuteua na kutengua watu wa kuzijaza nafasi za uongozi hususan serikalini na kwenye idara zake.
Na jambo kubwa linalonichefua sana ni hii dhana ya kuonekana mtu ‘kaula’ anapoteuliwa na Rais kwenye nafasi yoyote ile ya kiuongozi...
Habari wadau wa JF. Naomba mupokee na kuendelea kuboresha hili bandiko linalohusu mashindano ya CAF kwa vilabu kwa msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa kuanzia nitaweka misimamo kwa mashindano tajwa ambapo nitawaomba wadau muanze kutoa tathmini zenu bila matusi kuangalia mafanikio ya vilabu toka katika...
Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya kiusalama.
Mhe. Rais ni kama anakuwa na taarifa za ubadhirifu, uharibufu na upotevu wa Mali za umma badala...
Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums:
Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022.
1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
Habari zenu wa ndugu,
Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa dar kwa mkataba wa kujitolea na malipo madogo ya posho.
Nina ujuzi wa kutosha wa kuwapa watoto...
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa kombe la dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.
Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa.
Umepokeaje?
#FIFAWorldCup
OFFICIAL: Rais wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Bwana Gianni Infantino amethibitisha kuwa mfumo mpya wa Kombe la Dunia kwa upande wa vilabu utaanza mwaka 2025.
Mfumo huo utakuwa na timu 32 na utaendeshwa kama Kombe la Dunia la ngazi ya timu za Taifa.
Umepokeaje?
#FIFAWorldCup
Mbowe kasema ukweli. Je tufanyaje ili kuwa na viongozi watendaji, wabunifu na wasio wala rushwa.
Pamoja na katiba mpya tujiulize je utamaduni ni tatizo, je elimu yetu ni tatizo. Kwanini makabila mengine yana utamaduni wa biashara na maendeleo na mengine hayana. Kwanini wahindi wana utamaduni wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.