ngazi

Ngazi Sport de Mirontsi is a football club from the Comoros based in Mirontsi.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Waziri Mkuu kikaangoni, apewa miezi 6 tu! Vinginevyo.....

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania . Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mariam Kisangi agawa vitendea kazi kwa UWT ngazi ya kata hadi mkoa

    MBUNGE MARIAM KISANGI AGAWA VITENDEA KAZI KWA UWT NGAZI YA KATA HADI MKOA Atoa Jumla ya Viti vya Ofisi 214, Meza 107 pamoja na Majiko ya gesi 350. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es salaam (UWT) Mhe. Mariam Kisangi leo tarehe 25 Oktoba, 2023 amewezesha vitenda kazi kwa Ofisi za UWT kwa kata...
  3. Chale david

    Naomba kujuzwa kuhusu kubadili kozi ngazi ya cheti nmesoma human resources alafu diploma nataka kusoma bussness administration naweza badilisha?

    Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
  4. D

    Waraka mfupi wa maombi, toka kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jami kwenda kwa Waziri wa Afya

    Copy and Pasted WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER). Kwa Waziri wa afya Katibu mkuu wizara ya Afya, Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya, Kwanza kabisa...
  5. Tlaatlaah

    Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao. Nia...
  6. benzemah

    Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  7. Roving Journalist

    Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Ngazi ya Wataalamu waanza Nchini Angola

    Tanzania inashiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofunguliwa Agosti 08, 2023 Jijini Luanda, Angola kwa ngazi ya Maafisa Waandamizi. Wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo, imeshuhudiwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ikikabidhi...
  8. Wiltibenda

    Mikopo ya elimu ngazi ya Diploma inawezekana?

    Je ni kweli inawezekana kupata mkopo kwa anayeenda kusoma stashahada?
  9. Girita shabani issa

    SoC03 Kutokuwajibika kwa viongozi Ngazi ya Kata

    Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo ndogo ndogo katika kata kama vile Ulipiaji taka hii ni mojawapo ya changamoto inayonikumba mimi binafsi...
  10. S

    Msaada wa mkopo ngazi ya Diploma

    Nilikuwa naomba mwongozo kwa anayefahamu kuhusu mkopo wa elimu ngazi ya diploma.
  11. C

    Chuo cha ufundi JITA sasa kuanza kutoa mafunzo ya salon ngazi ya NVA

    Baada ya chuo kusajiliwa na NACTVET kwa namba REG/NACTVET/VTC/0845 mafunzo ya salon kuanzia kusuka nywele mitindo mbalimbali na masuala yote ya urembo sasa yatakuwa katika mfumo rasmi ambapo wahitimu watapata cheti kinachotambuliwa na serikali tofauti na hapo awali. Chuo cha ufundi JITA...
  12. Mung Chris

    Utaratibu wa kusajili chuo ngazi ya certificate

    Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote. Shukran
  13. benzemah

    Rais Samia aongoza vikao vya uongozi wa CCM ngazi ya Taifa leo Julai, 09,2023 jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Leo, Julai 09,2023 katika Ukumbi Wa (White House) Jijini Dodoma
  14. benzemah

    Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  15. cupvich

    SoC03 Ugatuzi wa madaraka ya ajira ngazi ya Halmashauri unavyoweza kuwa mwarobaini wa upungufu wa Walimu na Wataalamu wa Afya nchini

    Ripoti ya Mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Kwa mwaka wa fedha 2021/22 inaonyesha kwamba Katika halmashauri 23 pekee zilizofanyiwa tathmini Katika uwiano wa mwalimu Kwa wanafunzi ilibainisha Upungufu wa walimu 10,071 sawa na asilimia 35 ambapo walimu waliopo katika...
  16. Chale david

    Msaada: Kozi ipi inafaa kwa Certificate kwa matokeo haya?

    Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
  17. P

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika ngazi ya Familia

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA FAMILIA ZETU. Utawala bora ni mfumo wa utawala unaosimamiwa na kanuni na misingi ya uwazi, uwajibikaji, ushirikishwaji, utawala wa sheria, uwazi, na haki. Ni mchakato unaolenga kuhakikisha kuwa serikali na taasisi za umma zinatekeleza majukumu yao kwa...
  18. Dr Akili

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Waziri wa kilimo mwaka jana alikomalia kuuza chakula nje ya nchi. Kitendo hicho kililalamikiwa sana kusababisha bei ya vyakula nchini kupanda zaidi ya maradufu, lakini waziri huyu alikomalia jambo hilo akitoa sababu eti anawatajirisha wakulima, wakati ukweli ni kuwa alikuwa akiwatajirisha...
  19. Abraham Lincolnn

    Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    Haya yanayoendelea yanaonyesha udhaifu na kukosa uwezo wa kiuongozi na kimaono kwa kiongozi. Kama kiongozi makini unatakiwa utumie busara na akili nyingi kudadavua mambo.Kabla ya jambo hili kufika bungeni lilipaswa kumalizwa huko huko. Hasara ya kufikisha jambo hili bungeni ambapo kuna chawa...
  20. Anganjwiri92

    SoC03 Wakati rasmi wa Tehema kuwa somo la msingi ngazi ya shule za msingi mpaka elimu ya juu

    Tunaishi kwenye ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na tekinoloji, ni wakati sahihi wa serikali kuchukua uhamuzi juu ya somo la tehema kuwa somo mama, hili litasaidia kuchochea mhamko wa ulewa kuanzia mjini mpaka vijijini, kwa vile dunia sasa ipo kiganjani ni vizuri nchi ikaendana na kasi ya...
Back
Top Bottom