ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. Gentlemen_

    Ngoma kali za Rhumba: All the time Old is Gold

    Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati. Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana. 1> Bane by Oliver NGoma 2>Samba Mpangala -Marina 3> Monique Seka -Okaman 4> M. Seka -Adeba 5> O. N'Goma -Fely Etc Aisee mizigo ni mingi wacha niwaachie wadau (Wazee...
  2. Mr Why

    Kokoriko ya Paw Fum ni ngoma nzuri sana kwa DJ's wa Pub

    E banae katika pitapita zangu YouTube nimekutana na ngoma moja ya Kokoriko ya jamaa anaitwa Paw Fum nikaichukulia poa badae nika download nikaeka kwenye bufa ebana ngoma inakita sio poa. Kwa wale DJ's wa Pub hii itakuwa nzuri kwenu kwasababu ina amsha amsha flani hivi inapandisha mizuka...
  3. MSAGA SUMU

    Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  4. Hyrax

    Huyu mwamba napenda anavyoflow kwenye ngoma zake, msikilize!!

    Leo jumapili safi nikiwa natafakari wiki inayofuata nikaingia mtandaoni kuokota mambo mbalimbali kushibisha ubongo nikakutana na hii ngoma ya mwamba anaitwa KING KAKA ngoma inaitwa BESTE YANGU ukisikiliza kwa makini hii ngoma jamaa ana zaidi ya uwezo wa kurap yaani ana uwezo wa kufanya nafsi...
  5. Hyrax

    Hii ngoma nimeisikiliza leo kutoka Moro mpaka Dar, inahamasisha na kutia hasira za kupambana, Isikilize !!

    Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

    Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Za ndaani: Ngoma aliambiwa Yanga ni kikundi cha wahuni

  8. 6 Pack

    Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
  9. mtungu

    Fabrice Ngoma ni mnyama

    Wachezaji wa kigeni hadi sasaivi tumezidisha naona kabisa Banda na sakho hawatakuwepo msimu huu
  10. gentleman J

    Usajili wa ngoma kwa Yanga ni wakuchezeshwa.....

    Habari zenu. Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri.. Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni nini?? Hivi yanga wamtake mchezaji washindwe kumtumia pre contract kwa email?? Transfer market ya...
  11. GENTAMYCINE

    Msizuge! mmeumia sana Ngoma kuja Simba SC na Mayele anataka Kuondoka acheni Kumpigia Magoti yenu

    Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia. Wanafiki...
  12. Mtu Asiyejulikana

    Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

    Hizi habari si za kweli. Simba hawawezi mchukua Ngoma. Huyu anakuja cheza Yanga piga ua. Acheni kujitekenya na kucheka wenyewe.
  13. Mmea Jr

    Nani kaua kwa michano katika hii ngoma mpya ya Izzo Bizness inayoitwa "Nilipotoka”

    Wazee wazee wazee, recently hizo bizness kaachia chuma ambacho ndani yake kuna wakali kibao wa hip hop waliotupia verse zao. Versa ya kwanza kabisa unakutana na one the incredible akiwa kafanya yake, verse ya pili anaipokea izzoo naye katupia swagger zake pale verse ya tatu ni mnyama chaba...
  14. H

    Hii ngoma mpya ya lavalava Kali ametisha

    Jana ndio ilikuwa Mara yangu ya kwanza nasikia ngoma ya lavalava nilikuwa sijawahi kuitafuta kuisikiliza ila wakati nipo kwenye daladala ndipo ngoma nikaisikia ya Tajiri jamaa latisha Sana kuanzia idea yake mpaka melodies Cha muhimu asiwe anakaa kimya Sana bila kutoa ngoma kwa kipindi hiki Cha...
  15. Chinga One

    Je, unafahamu ngoma ya Forever Young ya Jay Z alikuwa na maana gani?

    Nadhani watu wengi wanajua kwamba wimbo wa Forever Young, Jigga alimaanisha kwamba hazeeki, still ana muonekano wa ujana. Yes hii ndio maana inayojulikana na wengi sana huko mtaani, hebu tusome wote hapa; Jay Z ajitangazia kuishi milele ☆ Naomba niwakumbushe tu kuelewa Kingereza,na kuelewa...
  16. Ahyan

    Mashabiki Simba mtacheza ngoma za Yanga hadi muite maji mma

    Tulianza na la suala la usajili kipindi kile akina Aziz Ki Tukarudi kwa Kisinda Tukaenda kwa Feisal Tukarudi CAF na mvua Tukawagongea nguma ya mechi za ugenini CAF Tukaja kwenye nusu fainali CAFCC na fainali yake Tukahamia kwenye medali za CAF Tukarudi kwenye kiatu NBC PL Sasa tupo kwenye Bingwa...
  17. Suley2019

    Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  18. GENTAMYCINE

    Mumeo alikufa kwa Ngoma mwaka 1993, leo mwaka 2023 Wewe Mkewe unataka Kukikwepa Kifo cha Maambukizo hayo?

    Kituo A cha Kuchukua Dozi kilikuwa ni Dar es Salaam Tanzania ila huenda Mgonjwa akaenda Kujifia zake Wiki ijayo Jijini Algiers nchini Algeria Kituo B cha Kuchukulia Dawa mbele ya Madaktari mahiri wa Kiarabu kutokana na hali kuwa mbaya zaidi.
  19. BARD AI

    Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

    Leo Mei 28, 2023 imetimia miaka 10 tangu kutokea kifo cha ghafla cha Nyota wa Hip Hop, Bongo Flava na Mkali wa "Freestyle" kutoka East Zoo Dom, Mangwair au Ngwair au Cowbama Wakati wa uhai wake, alijizolea sifa ikiwemo kuwa na uwezo kuingia studio na kurekodi 'Ngoma' bila kuandika (Freestyle)...
Back
Top Bottom