ngoma

Ngoma (also called engoma or ng'oma or ingoma) are musical instruments used by certain Bantu populations of Africa. Ngoma is derived from the Kongo word for "drum". Different Bantu-inhabited regions have their own traditions of percussion, with different names for their instruments. In Kikongo, "ngoma" is used by extension to signify specific dances, social occasions and rhythms. In Swahili, the word Ngoma is used to describe the drums themselves as well as music and dance together as a joint cultural practice.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    Wana Yanga wenzangu si tulikubaliana tutawapiga kama ngoma, sasa nini kimetokea?

    Vikao vyote tulivyokaa takribani mwezi mzima sote kwa pamoja tulikubaliana kuwa, hawa Wasudani bado wanajitafuta hivyo tutawapiga kama ngoma. Sasa nini kimetokea? "IWE MVUA IWE JUA SUDANI HAWATOKI!"
  2. Guru Master

    Muda mrefu sana Natafuta hii Ngoma

    Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake. Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho. Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
  3. Little brain

    Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

    Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
  4. B

    Machungu ya katiba bora, Majaji 6 wa Ruto ngoma bado mbichi

    Kumbe Ruto pamoja na kujishasha kwake na hatma ya majaji wale 6 mbele ya wageni wasiohusika, kingali kimeumana? Kwa hakika ndiyo maana watawala wetu wakisikia katiba mpya: "Huwa hawaishiwi ndoto mbaya mbaya usiku wakikimbizwa na kupigiwa kelele za wezi,,, wauawaji ... zisizokoma." Hawa 6 kwa...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga imejipeleka Al Hilal; itapigwa kama ngoma

    Hawa ndio wafalme wa Soka la Sudan, Ndio klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo na Ndio Wawakilishi Bora zaidi wa CECAFA kwenye CAF. Hilal imeshacheza Fainali za CAF mara 2 zote Ilipoteza, Ilikua 1987 Kwa Ahly ya Misri na 1992 Kwa Wydad Casablanca ya Morocco. Imecheza nusu Fainali ya...
  6. Shy land

    Ngoma za kisukuma special thread

    Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini. Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI...
  7. MK254

    Ukraine wapost video, ngoma ya Kharkiv wameifikisha mpakani na Urusi

    Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana hadi raha. ================= Avideo of a Ukrainian soldier bragging about how close Ukrainian...
  8. Poker

    Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  9. Narumu kwetu

    Hii ngoma nzito! Ukraine yashutumiwa kwa mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin

    Urussi wameishutumu Ukraine kwa kuhusika na mauaji ya mtoto wa Alexander Dugin nguli wa siasa za kijamaa ambaye ndiye anayeaminika kuchochea vita vya Ukraine, huyu mwamba kama humjui alishawahi kutamka Ukraine inatakiwa ifutwe kwenye uso wa dunia ,USA wamempiga ban ya kuingia mataifa ya ulaya na...
  10. ankai

    Ushindani kati ya ngoma za Nigeria na ngoma za Kibongo

    Ni nyimbo gani ya kibongo ambayo kwa sasa tunaweza kuishindanisha na Buga ya kizz Daniel katika kipindi hiki ambacho Buga imetoka maana naona wabongo wengi wanalalamika kuwa hii ngoma inapendelewa emu niambie ni ngoma gani ya kibongo tunaweza kuishindanisha na Buga ya Kizz Daniel.
  11. M

    SI KWELI Kila mwanakikundi wa Ngoma kutoka Bagamoyo aliyeenda Marekani kuzindua Royal Tour alipewa Tsh. Milioni 3 kwa siku

    Kumekuwa na madai ya kwamba wasanii walioambatana na Rais Samia Suluhu katika safari ya Royal Tour walikuwa wakilipwa Tsh. Milioni 3 ya kitanzania kama pesa yao ya kujikumu kwa siku nzima kwa siku zote walizokuwepo nchini Marekani.
  12. K

    NANI ZAIDI? Ngoma Nzito Kwa Mashabiki Yanga

    Yanga Tuna Tatizo? Siku 10 Zimekatika toka hii changamoto ya NANI ZAIDI izinduliwe,Wenzetu Wamefikisha kura Zaidi Elfu mia moja sisi Yanga tupo Forty thousands hivi mpaka sasa, na Hapo Mashabiki wao ndo wapo dissappointed kwa Kuelekea kutokuwa Bingwa msimu huu. Je Wangekuwa wanaenda kutwaa...
  13. Gudasta

    Director wa hii ngoma nimemkubali

    Angalia utoe marks kwa director wa hii ngoma Dark horse-Katy Perry feat Juicy J, Una views 3,279,761,229
  14. JanguKamaJangu

    Man United 1-1 Chelsea ngoma ngumu, watoshana nguvu

    Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022. Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
  15. Suzy Elias

    Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  16. B

    Zambia: Mwanafunzi wa chuo akiri kuwaambukiza Virusi vya UKIMWI wahadhiri zaidi ya 50

    Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA). Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko. Hii ndiyo Afrika sekta zote ni uozo na tungetaka kusiwe na VETO UN au kama vipi iwe zamu yetu sasa. Pana kitu na Uafrika wetu hakipo...
  17. Bangida

    Utamu wa ngoma, uingie uicheze

    Wakuu, kwema? Baada ya muda kidogo wa kuwa guest member na kuona yanayoendelea katika majukwaa mbalimbali, its fair to say kuna mengi nimejifunza na pia kuna mengi ya kujifunza zaidi. Hivyo sasa nimeamua rasmi kuwa member wa JF. Aluta continua.
  18. Lyrics Master

    Wimbo gani wa Hip Hop/Bongo Flava ambao hujasahau mistari yake?

    JAMANI EEEH. NYIMBO GANI YA ZAMANI YA HIP HOP BONGO FLEVA HADI LEO HAUJASAHAU MISTARI YAKE? MIMI KUNA HII HAPA CHINI YA JCB INAITWA SINA TAXI REMIX. HEBU TILILIKA NAYO HUKU UKITUPA NA WEWE LYRICS ZA NYIMBO UNAYOKUMBUKA HADI LEO. Eni sina, Wamenipukutisha mapene kichina, Usiku wa manane after...
  19. Determinantor

    Polepole Vs Bulembo: Ngoma mbichi

    Tulisema wakimalizana na sisi watageukiana wenyewe kwa wenyewe. Sasa ni vita vya kufa mtu kati ya Polepole na Bulembo, huku kwa mbaaali Nape akitaka kununua ugomvi kwa gharama yoyote Ile. Kumbe Wahuni aliowasema Polepole ni pamoja na Bulembo.....
  20. T

    Ngoma na miziki yote kwa sasa inapigwa Lumumba, Ufipa wamebaki kudemka tu!!

    Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni. Kwa muda mrefu sana majina yaliyovutia mijadala mingi ni pamoja na Samia, Polepole, Nape, Sabaya, Shaka...
Back
Top Bottom