ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma. “Ng’ombe kama 200 hivi...
  2. L

    Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
  3. M

    Wamarekani wanaamini maziwa ya chocolate yanatoka kwa ng'ombe wa kahawia

    Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui? ==== Seven percent of all American...
  4. S

    Ogopa kuoa mtu mwenye status ya chini. Utachapiwa mpaka na mkata nyasi za kulishia ng'ombe

    Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake. Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na kupunguza wanaume kumtongoza mwanamke. Mfano mwanamke:- 1. Mwenye shahada (ya kwanza, uzamili ama...
  5. U

    Ng'ombe wakubwa aina hii sijawahi waona nchini Tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Ng'ombe wakubwa aina hiyo pichani sijawahi waona hapa nchini tanzania. Naona hao wanapatikana Sudan kwenye jamii ya Dinka. Wataalamu mifugo mtujuze kwanini hawapatikani Tanzania.
  6. A

    DOKEZO Serikali iliangalie hili la uuzwaji vyakula mtaani bila vibali maalum; kuna hatari kubwa mbeleni

    Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
  7. Tuseme ukweli Nguruwe ni mbadala wa ng'ombe

    Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mifugo mingi husasani nguruwe ila kutokana na wingi ng'ombe uonekana mboga kubwa kwa maitaji ya kila siku na wanyama wengine. Kuna nchi ambazo ng'ombe ni wachache ukilinganisha mbuzi, kuku, samaki na nguruwe. Tuje nchini China, Korea, Taiwan, Cambodia, Vietnam...
  8. SI KWELI Mnyama anayefanana na ng'ombe aonekana ufukweni

    Dolphin had baby with a Cow Wakuu nimekutana nayo hii mtandaoni ni ya kweli? Je huyu ni mnyama gani
  9. Ng'ombe ana maziwa ila hatoi maziwa

    Tuna kizazi cha hovyo sana kinacho dhani kuwa ukiwa na ng'ombe ni sawa sawa na kuwa na maziwa
  10. Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  11. Ufisadi: Tumechinja ng 'ombe zaidi ya 1500 asema Ridhiwani Kikwete

    Ukiacha ulechango wa harusi ambapo naibu waziri Ridhiwani alichangia million 30 leo ameposti kuwa wamechinja zaidi ya Ng'ombe 1500 kwa ajili ya idi. Chalinze hakuna maji, kumejaa umaskini hasa huko ndani ndani ,shule zipo hovyo zimejaa nyufa hakuna madarasa ila mbunge anajisifia kuchinja...
  12. Nchi za Uarabuni wananunua mbolea ya ng'ombe. Tuchangamkie fursa

    India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe. Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe kwa wingi mkubwa.
  13. Kituo cha maziwa Kiluvya (ufugaji wa ng'ombe)

    Hello farmers, Nimesikia pale Kiluvya kuna kituo cha maziwa, ningependa anayepafahamu ashee ni maeneo gani na mmiliki ni nani. Nataka kuanza kufuga kwa ajili ya maziwa kwa hiyo nataman kujifunza zaidi. Yeyote pia anayefuga kibiashara naomba kujifunza shambani kwako. Shukrani
  14. R

    Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  15. Wachambuzi wameisahau Kengold kuwa imepanda ligi kuu, wanaisifu Pamba muda wote kwa kua wamepewa supu ya Ng'ombe na mboga ya kupeleka nyumbani

    Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
  16. U

    Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

    Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa Wadau je kiafya kuna Usalama? Karibuni tujadili
  17. Wa Israel wanakaribia kumchinja ng'ombe mwekundu. Ni ishara mbaya

    Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza 1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu. 2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu. 3) Tayari wa Israel wanakaribia kumchinja huyu ng'ombe 4) Kunyakuliwa kwa kanisa 5) Ubomowaji wa msikiti wa alqsa...
  18. SI KWELI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  19. Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  20. Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

    Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5. Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je? Ni changamoto gani nitakumbana nazo nijiadhari mapema. Location yangu ni Dodoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…