ng'ombe

Ng'ombe
Ng'ombe ni wanyama wakubwa wanaokula nyasi. Ni wanyama wanaofugwa kwa wingi sana kwa ajili ya nyama, maziwa, ngozi au pia kwa kuvuta plau au gari la kukokotwa.

Kwa asili kuna aina mbili za ng'ombe-kaya: ng'ombe wa Ulaya na ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi za B. taurus na B. indicus). Zinatoka kwa nususpishi za zamani B. p. primigenius na B. p. namadicus.

Ng'ombe hula nyasi na hutembea kwa kwato. Ng'ombe waliofugwa na binadamu walitokana na ng'ombe-mwitu ili kujipatia nyama na maziwa. Katika nchi nyingi hutumiwa pia kama mnyama wa mizigo anayevuta plau au magari.
  1. J

    Ng'ombe dume 600 wanauzwa

    Habari, Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni. Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri. Bei ni maelewano. Tunauza kwa KG in terms of Live weight or Carcas Weight sio bargaining Mawasiliano ni 0768625199 Karibu sana.
  2. Stephano Mgendanyi

    Mufindi Kusini Wamzawadia Rais Samia Ng'ombe

    MUFINDI KUSINI WAMZAWADIA RAIS SAMIA NG'OMBE “Zawadi hizi; Ng'ombe Wawili, Mmoja kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwingine kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo zimetolewa na Wana-Mufindi Kusini na mimi ninazikabidhi kwa niaba ya kuwawakilisha wananchi wa Mufindi Kusini...
  3. benzemah

    Sakata la hereni za ng'ombe bungeni, Msukuma amtaja mbunge wa Kibaha kufaidika na mradi huo

    Wakati wa kuwasilishwa na kujadiliwa kwa hoja ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, moja kati ya mambo yaliyochangiwa na wabunge wengi hasa wanaotoka maeneo ya wafugaji ni suala la HERENI ZA KIELEKTRONIKI KWA MIFUGO HASA NG'OMBE Katika hotuba iliyowasilishwa ilielezwa kuwa...
  4. Suley2019

    Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
  5. S

    Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa; ushauri wa kitalaam, changamoto, mawazo na masoko

    Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa sector hii kupitia uzoefu wangu mashambani na shuleni (SUA) hivo karibuni tusharee mawazo tupate...
  6. benzemah

    Milioni 878.4 alizoidhinisha Rais Samia zimeboresha sekta ya mifugo nchini, vikundi 20 vyakabidhiwa madume ya ng'ombe

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde amesema katika kipindi cha miaka miwili tangu Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, serikali imenunua madume ya ng’ombe ya kisasa 366 yenye thamani ya Silingi Milioni 878.4 ili kuboresha mifugo nchini. Silinde amebainisha hayo akiwa...
  7. Sildenafil Citrate

    Watu 33 wanusurika Kifo kwa kula nyama iliyouzwa Tsh 2000 kwa kilo

    Watu 33 wa kijiji cha Kazingumu kata ya Namelock wilayani Kiteto mkoani Manyara wamenusurika kifo baada ya kula mzoga wa ng'ombe aliyekuwa anapatiwa matibabu ambapo nyama hiyo walinunua kwa shilingi 2000 kwa kilo badala ya bei ya kawaida ya 8000. Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mbaraka Al Haji...
  8. O

    Hii inatisha aisee! Nimemkosa binti wa kinyantuzu hivi hivi eti kisa ng'ombe

    Aisee jamani inafikia hatua mwanadamu anauzwa kama kama nguo kwenye Gulio? Kuna msemo mmoja sisi wazaramo tunausema cheza ka ncheza yaani sio poa mwenye power ndio atavuna mpaka nimekata tamaa sasa Kuna theory moja inaitwa struggle for fittest yaani mwenye power ndio atapata asie na nguvu...
  9. Phobia

    Nimetajiwa ng'ombe 50 kwa ajili ya mahari tu, eeh nafwaa!

    Ama hakika kwa namna hii sina hakika kama itawezekana kiukweli wakati kule kwetu Mtwara 150000 tu unajinyakulia demu mke mkali tena wakuvutia ila kwa hawa ndugu zangu wanyantuzu wanahitaji ng'ombe hamsini mimi nitawapata wapi? Wakati kwetu kuna bahari tu na samaki na korosho tu? Ama hakika...
  10. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  11. Mynd177

    Kwanini ng'ombe anatoa maziwa yanayokuwa kama maji?

    Habari wanajukwaa la kilimo na ufugaji, Tafadhali rejea kichwa cha mada. Ng'ombe hapa nyumbani siku za karibuni amekuwa akitoa maziwa ambayo kwa kweli ni kama maji, hayana uzito wowote na hata ukiyachemsha hayana ladha yoyote ni kama maji. Jambo hili limepelekea mpaka wateja kulalamika kuwa...
  12. Nguva Jike

    Nimepata mchumba mwenye sehemu mbili za uzazi

    Habari Jf! Nimefanikiwa kupata nyumba ndogo tupo hatua za mwisho kufunga ndoa. Katika harakati za muonjano nikagundua ana sehemu mbili lakini ya kike ndo inaonekana vizuri na ipo vuzuri nimeenjoy.Ya kiume ipo Kwa juu lakini ni ndogo binti Mwenyewe mkali pisi Kali ya kisambaa. Najiuliza...
  13. gimmy's

    Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
  14. kingzard

    Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia. Baada ya siku tatu tatizo likaanza kwa...
  15. BARD AI

    Ukame, gharama za Ng'ombe vyatajwa kupandisha bei ya Nyama nchini

    Bei ya ng’ombe katika Soko la Pugu kwa wiki inayoishia Novemba 23, imepanda kwa asilimia 6.5 ikilinganishwa na wiki iliyopita, hali iliyosababisha nyama kuuzwa kwa bei ya juu. Katika kipindi cha mapitio, bei ya ng’ombe wa daraja la kwanza ilipanda kutoka Tsh. milioni 1.9 wiki iliyopita hadi...
  16. Erythrocyte

    Mbarali: Ng'ombe zaidi ya 400 ambao ni mali ya Wananchi kupigwa mnada leo

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022 Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
  17. Analogia Malenga

    RC Makalla: Ng'ombe wamesababisha uhaba wa maji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema mto Ruvu umacha kutiririsha maji kutokana na wananchi wa Mvuha, Dutumi na Kisaki Mkoani Morogoro kiwa na ng'ombe wengi. Makalla na timu yake waliufuatilia mto Ruvu ili kujua sababu ya kutopitisha maji ambapo wamegundua shughuli za kibanadamu...
  18. Gama

    Mawe katika mfuko wa nyongo ya ng'ombe: Nini thamani/matumizi yake?

    Wadau, hii kitu inaonekana kuwa na thamani sana kwani bei yake imekuwa ikipanda bei kila siku na kwasasa thamani yake sokoni inazizdi bei ya dhahabu. Kwasasa, kwa Dar es Salaam gram moja inauzwa TZS 130,000 wakati dhahabu ni Tzs 90,000. Naomba kujuzwa matumizi yake kwa kuwa wanaooonekana...
  19. Zanzibar-ASP

    Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi? Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
  20. M

    Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Back
Top Bottom