ngono

  1. Kuna tofauti gani kati ya malaya wa ngono na wa kiasiasa?

    Japo malaya ni malaya, je kuna tofauti kati ya malaya wa ngono na siasa? Malaya wa ngono husababisha umaskini na miwaya. Wa kisiasa nao pia husababisha umaskini na uchawa. Je kuna uhusiano au tofauti gani kati ya malaya hawa aina mbili?
  2. Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

    Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana. Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
  3. T

    KERO RUSHWA YA NGONO LIMEKUA RATIZO SANA

    Wadau habari ya muda Mimi ni kijana wa miaka 24 Niko hapa kuomba ushauri wenu na mawazo pia. Kimuonekano Mimi ni mrefu Nina urefu wa cm 187 pia Mimi ni mkimya sasa baada ya kumaliza masomo yangu nimerudi nyumbani kwanza ili kuweka Mambo yangu sawa sasa Kuna mama mmoja ana cheo serekalini na...
  4. S

    Kwanini contents nyingi katika Mitandao ya kijamii ni ya kuhamasisha ngono?

    Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono. Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono. Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
  5. Jini Mahaba ni dhana tu sio kweli, ni kushindwa kuwajibika kwenye ngono

    Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana jini mahaba. Ukweli ni kwamba kuna wanawake na wanaume ambao ngono kwao ni jambo kuu, kwa hiyo...
  6. Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  7. T

    Ngono ndo chanzo cha umasikini wa waafrika acheni kuwasingizia wazungu juu ya umasikini wenu

    Ukifanya tafiti utagundua tendo la ngono kidunia ufanyika sana kusini mwa jangwa la Sahara kuliko sehemu zingine za dunia. Hata ukifanya tafiti unagundua waafrika ndio wanaongoza kwa kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja kuliko race zingine. Ngono ni nini ni tendo la kiroho na kimwili kwa...
  8. Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  9. S

    Hivi kwanini watu wengi wanahisi kila mwenye maambukizi ya HIV alifanya ngono?

    Unakutana na mtu anaanza kumsema mwenzake huyo alikuwa mzinifu, Mara alikuwa na wanawake wengi maskini wakati mtu hajui hata K" inavyofanana. Kuna wengine tuliupata kwa kushare vitu vyenye ncha kali, Kuna wengine tuliupata kwa kuhudumia wagonjwa, Kuna wengine tuliupata kwa kuongezewa damu...
  10. Unawezaje kudhibiti tamaa zako za ngono?

    Nambari 3 na 4 zitakuokoa. Kama mwanaume au mwanamke, mara tu unaposhinda tamaa yako ya mwili, unakuwa mtu usiyeshikika. Hasa WANAUME. Tujadili njia chache zenye nguvu za kudhibiti tamaa: Kabla ya kuendelea, kuna jambo unapaswa kuelewa. Kuna aina mbili za wanaume katika dunia ya sasa...
  11. Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

    Hapa siongelei financially. Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama. Namaanisha energy, namaanisha kiroho. Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na...
  12. Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

    Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa. Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa...
  13. Nini chakufanya kwa mwanamke ambaye anataka kutawala mwanaume kwasababu ya ngono

    Habari zenu wapendwa Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo Hali hiyo ni kutaka kunitawala kupitia madhaifu yangu Amegundua kuwa ninapenda sex sana na ameanza kutumia njia hiyo...
  14. Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

    Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi Fanya hivi Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji. Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
  15. Mabingwa wa kauli hizi naombeni majibu, mnakuwa mmepatwa na nini hasa? Mmechoka au ndo kudai kodi ya meza kijanja?

    Yani we muda wote mawazo yako ku.se.x tu, mi nmechoka siwezi Juzi nlikupa jana tumefanya na leo unataka tena? mi nimekuwa mashine? sitaki niache huko tena unikome. Tumbo linaniuma sitaweza ku.se.x leo. Jana nimeangia mp [wakati mtu mwenyewe mkavu huna cha iyo mp wala wp] Watoa kauli hizi...
  16. Ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA

    KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAFUNDISHO YA SIRI. ngono ni ibada takatifu ngono ni tendo la kubadilishana nishati na DNA. dna inashikilia habari zote kuhusu mtu huyo ikiwa ni pamoja na kiwewe, matatizo ya akili na kila kitukuhusu mtu huyo. kila mtu ambaye umewahi kumbusu au kufanya naye ngono...
  17. G

    Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  18. Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  19. FEMINA HIP popote mlipo uzi wangu uwafikie, rudisheni program yenu ili muwaokoe vijana na janga la ngono, mimba za utotoni na mapenzi ya jinsia moja

    https://feminahip.or.tz/ FEMINA HIP mmepotelea wapi ndugu zetu? Zamani mlitoa elimu kwa vijana juu ya maambukizi ya magonjwa ya ngono, mimba za utotoni nakadhalika. Vijana wengi tulivutiwa sana na Magazine za Femina Hip kwasababu tulifahamu njia zote mbaya za kutuingiza kwenye vishawishi vibaya...
  20. Wakuu najua mnapombeka, Mkesha wa Krismas, vichwani mnawaza ngono tu "Msisahau kupima ". Jamaa kaponea tundu la Sindano Gridi ya Taifa!

    Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini). Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha. Muda fulan kanipigia Simu, Oyaaa kuna Manzi nmempima HIV Kwa kipimo Cha mdomo, Et kuna kamstari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…