Wakuu.
Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani.
Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
Wapendwa,
Kwa wenye ufahamu naomba msaada wa maana na matumizi sahihi ya maneno haya matatu NGONO, TENDO LA NDOA NA UNYUMBA. Nimeyasikia mara nyingi lakini sina hakika kama yanamaanisha kitu hicho hicho au tofauti.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kitengo cha Kupambana na Rushwa ya Ngono, imesema imejipanga kuanza kutoa elimu mtaa kwa mtaa ili kuhakikisha inawafikia watu wa rika zote.
Mkurugenzi wa Idara hiyo, Janeth Mawinza, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam alipofungua kikao...
Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali.
Nimejaribu pia kugusia kwanini wanafunzi kule Mbeya walichoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni...
Katika suala la natural selection and elimination ni kwamba wale tu ambao wanastahimili mazingira husika ndio hubakizwa na wengine wasioweza kuvumilia hufyekelewa mbali.
Mfano ni wale twiga wenye shingo fupi walivyokufa kwa njaa na kuwaacha wale wenye shingo ndefu za kufikia majani laini yenye...
Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi.
Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara.
Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam.
Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga...
Wadau kheri ya mwaka mpya 2020!
Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua.
Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
Imebainika moja ya mazao makubwa yanayokuwa exported toka Tanzania kwenda India ni ngono, hii ni baada ya soko letu la bilioni 500 la mbaazi huko India kuyeyuka.
Je, tupo sahihi kuexport bidhaa hii? Video hapo chini ina maelezo ya ziada na ya kina.
Ila pia sijafurahia hii tabia ya mabeberu...
Moderator naomba andiko langu lijitegemee, lisiunganishwe na nyuzi kadhaa zilizoandikwa humu kuhusiana na Rushwa za ngono kwa sababu maudhui yake ni tofauti kabisa.
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa nyingi zinazoandikwa kuhusiana na rushwa za ngono au manyanyaso ya kingono yanayofanywa zaidi na...
Huu ndio ukweli, tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uasherati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu.
Lakini cha ajabu Ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa.
Unaogopa kufa kwenye...
Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la kiwango cha joto duniani.
Waandaaji wa mkutano waliwakusanya washiriki kutoka mataifa 200 hadi zaidi...
BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi.
Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda...
Ni kwanini mwanaume yoyote yule akiwa ameshamtongoza mwanamke na wameshakubaliana kwenda iwe ni ghetoni kwa mwanaume au Gesti kama siyo Loji basi lazima tu mwanaume ndiyo atakuwa anaongoza msafara (anatangulia mbele) muda wote.
Lakini, baadaye wakishamaliza 'Uzinifu' wao hilo jambo hubadilika...
Naandika malalamiko haya nikiwa ni mmoja wa wahanga wa hili.
Mimi ni daktari ambae nimemaliza mazoezi ya vitendo "internship" katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Mbeya Zonal Referral Hospital).
Madaktari bingwa kutoka baadhi ya idara katika hospitali hii wamekua na tabia chafu ya kudai...
Wakubwa Shikamooni...
Kwa takribani wiki sasa kumekuwa na mada mbalimbali ambazo zimekuwa zikiwekwa humu kwa kuanisha jinsi gani Wadau humu wanavyoloweka na walivyo wakwale kwenye sekta nzima Ngono zembe.
Nimekaa nimetafakari nikajiuliza hivi mleta Mada lengo lake nini? Ni kuaminisha Umma kuwa...
Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho.
Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
Mamia ya akaunti za waigizaji wa filamu za ngono zimetolewa katoka mtandao wa Instagram mwaka huu, huku wengi wakisema watu hao wako katika hadhi tofauti kuliko nyota wa kawaida.
Mtandao huo umedai akaunti hizo huchapisha maswala yaliyo kinyume cha sheria za mtandao huo...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda jela miaka mitatu baada ya kuingia makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) ikiwamo kuomba msamaha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.