PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa.
PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi.
Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru.
Japo unaweza kujipa moyo kwa kuungana au kusoma post zingine za wapiga punyeto,
Lakini, ukweli unabaki kwako...