Tangu kuingia kwa ugonjwa wa ukimwi mwanzoni mwa miaka ya 80 harakati za kupambana na ugonjwa huu ni kubwa na mapambano yanaongezeka kasi kadri miaka inavyoenda. Ukweli ulio mchungu mpaka hii leo ugonjwa huu hauna dawa, na ulivyoingia ulipukutisha watu maana hakukuwa na kizuizi chochote wengi...