Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito.
Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi...
Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen;
1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
Naomba Kupata ufahamu mzuri kutoka kwa wataalumu. Ngono inamchakaza Mwanamke na kumfanyia kuzeeka Mapema?
Na kwa upande Mwanaume inapunguza life span?
Nauliza hivi kwa sababu Nina Umri wa miaka 26 na nimekuwa nikiendekeza ngono Basi mwili wangu naona hauna Nguvu Kama Mwanzo.
Na nikiwatazama...
Ni maneno yalio tolewa na binti mmoja mwenye uzuri wake. Na sauti flani hivi ya kibez ikiwa na mchanganyiko na mahaba ya kudeka.
Huyu ni binti ambae nilikutana nae katika harakati za kula maisha akiwa na wenzie . Basi katika kufahamiana siku ya kwanza wao ndio walikua obsessed na sisi. Walikua...
Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara.
Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
• WemaSepetu
• Aunt Ezekiel
• Nandy
• Lulu diva
• Amber lulu
• Amber Ruty
• Gigy money
• Divadeboss
• Jackline Wolper
• .......
📌 Msanii ni kioo cha jamii, ila sio kwa sanaa ya kipindi hichi aisee. Asilimia kubwa wasanii wengi wanapotosha jamii na kwakuwa wao ni maarufu ndo kizazi kinazidi...
Habari wa jukwaa,
Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje?
Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani.
Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
Ushauri .
Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry
Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Wizara ya Haki imependekeza umri wa Mtoto kuridhia kufanya tendo la Ndoa uwe miaka 16 kutoka miaka 13 ya awali ikiwa ni mabadiliko mapya ya Sheria yanayotarajiwa kudhibiti Uhalifu wa Kingono.
Pendekezo hilo pia linalenga kuharamisha Ndoa za Watoto pamoja na kupanua Sheria inayoweka vikwazo kwa...
Wazazi na walezi,
Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo!
Hasa hawa walioenda ngazi ya cheti baada ya kumaliza kidato cha nne, wengine wameoa na kuolewa!
Binti haingii darasani, anafua na kupika kwa kijana waliyekutana naye chuoni.
Kuna ambao pesa ya ada hajalipa anahudumia "mke"! Unaweza fikiri...
Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi.
Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake?
Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
Mida ya saa 2 nikakatiza nyuma ya stend mpya ya Nyegezi inayomaliziwa kujengwa. Nilipokata kona ya pili nakutana na kundi la wanawake kadhaa wakiwa wameelekeza macho na masikio yao barabarani. Nikaamini kutakuwa na tukio wanalishangaa au wanasubiri usafiri. Nilipojaribu kupunguza mwendo ili...
Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje?
Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess?
Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi.
👇
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.
Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.
Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi.
Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma.
Walimu hao walikamatwa...
Wasalaam wana JF
Hivi katika hali ya kijamii au kiimani mbona hiki kibali cha kuoa wake zaidi ya mmoja sioni mantiki zaidi ya starehe ya ngono, kama nguvu kazi ya kiuchumi mfano kilimo so unaweza kukodi vibarua, je, mwanamke ni chombo cha starehe kwa mwanaume? Kwanini yeye mwanamke pia asiwe na...
Mdau wa JamiiForums anaomba kufahamu kama kitendo cha mwanamke kujisaia wakati wa kujifungua huhusishwa na kushiriki tendo la ndoa kinyume cha maumbile.
Ameuliza swali hii baada ya kuwepo wa sintohamu kubwa miongoni mwa watu ambapo baadhi husema ni jambo la kawaida huku wengine wakipinga...
2020
Bwana Hamis (sio jina halisi) alikua ni kijana wa mtaa, wakati huo amemaliza form 4 pale kinondoni, hakufaulu na hakupata ajira yoyote so akawa ni mtu wa maskani tu.
Maskani ya vijana wengi wa dar hua inakua opposite na gheto la mwamba mmoja ambaye hua ametoa ruhusa ya mwana yoyote kati...
Habarini Wana JF,
Nina swali kidogo. Hivi mtu aliyejeruhiwa kichwani mfano kukatwa na panga kwenye utosii anaruhusiwa kufanya mapenzi au mpka apone kabisa?
Na je, akifanya hajapona kuna madhara gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.