ngono

  1. DR HAYA LAND

    Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  2. Carlos The Jackal

    IGP Wambura na Jeshi lako, Kurusha Picha za "Wanawake wafanyabiashara ya Ngono", mitandaoni, ni Uvunjaji wa haki za Mwadamu... hatua zichukuliwe.!!.

    Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona. Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
  3. BARD AI

    Wadau washauri Vyombo vya habari viwe na Dawati la Jinsia kukabili rushwa ya ngono

    Ili kukabiliana na rushwa ya ngono na mfumo dume katika vyumba vya habari, wadau wa habari wameshauri kwamba kila chombo cha habari kinapaswa kuwa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika Desemba 16, 2022, jijini Dar es...
  4. JanguKamaJangu

    Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  5. BARD AI

    Naibu Spika Zungu: 'Vijana epukeni ngono kabla ya ndoa'

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amelitaka Bunge la Vijana kutoka na azimio ambalo litawaasa vijana kujiepusha na masuala ya ngono kabla ya ndoa. Zungu ameyasema hayo leo Alhamisi Disemba Mosi, 2022 wakati akifungua Bunge la Vijana ambalo limeanza vikao vyake vya siku tano katika ukumbi...
  6. BARD AI

    Rushwa ya Ngono 'inavyobemenda' Masomo na Ajira nchini

    “RUSHWA ya ngono ipo, lakini haizungumzwi maana inachukuliwa kama jambo la kawaida na lisilozungumzwa hadharani. Vyuoni, ipo kutoka kwa mwalimu wa kiume kwenda kwa wanafunzi wa kike, au kutoka kwa mwanafunzi wa kike kwenda kwa mwalimu wa kiume.” Ndivyo anavyosema Mkurugenzi Mtendaji wa Chama...
  7. Justdr

    Je wajua unaweza kuambukizwa VVU/UKIMWI hata kama uliyefanya naye ngono zembe umempima na majibu yamekuja Negative?

    Habari za muda huu? Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
  8. T

    Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  9. Boss la DP World

    Miguno yake ilifanya nimtongoze na kumchakata

    Siku ya jumanne niliamua kuokoka na kuacha uovu wote, jana nikiwa njiani kutoka kazini nikasimamishwa na mdada aliyekuwa anaelekea uelekeo ninao elekea akaomba nikamwache sehemu fulani, basi akaingia tukaanza safari, kwakuwa nimeokoka sikutaka kumpigisha story. Yeye alikuwa anachati, kuna...
  10. BARD AI

    Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  11. JanguKamaJangu

    Nigeria: Rais asema rushwa ya ngono vyuoni imekithiri

    Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi. Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi ni kutakiwa kutoa fedha na rushwa ya ngono licha ya kuwa hakutaja takwimu za matukio hayo. Ameweka...
  12. BARD AI

    Waathirika wa Ebola watakiwa kuacha Ngono kwa siku 90

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona. Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Anaandika, Robert Heriel, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe ya kujitia matatizoni. Nafsi ya mtu huchafuliwa na uzinzi, yaani ili mtu awe mchafu basi itampasa...
  14. Sildenafil Citrate

    Kenya: Magoha aishauri Serikali kufunga tovuti za Ngono kuokoa Vijana

    Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana hasa wanafunzi dhidi ya athari hasi za tovuti hizo. Amebainisha kuwa pamoja na kuwa dunia...
  15. S

    Acha wanasiasa wafaidike na tozo, maana siasa za Tanzania zinahusisha fitina, uzandiki, ngono na ulozi

    Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais. Lakini... 1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina. 2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k...
  16. DR HAYA LAND

    Vijana wanaolalamika kuhusu ajira na wanaojisifu kufanya sana ngono, ni vijana wawili tofauti?

    Naomba kujua, hawa vijana wanaomuwaza Harmonize na CCM na kutafta connection za pornography, ndiyo hawa hawa job seeker or wapo tofauti tofauti kimakundi?! Kama ndiyo hawa hawa naomba serikali iendelee kupiga msumali wa kichwa!
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanaume hawezi kukupenda kama anavyompenda mke wake, never ever!

    Anaandika Robert Heriel. Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe. Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo. Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji. Ndio...
  18. Nobunaga

    Kwa nini vinywaji type ya "Mo Energy" au "Amaz Energy" vinaongeza ashki ya ngono?

    Nilikuwa nasikiasikia tuu watu wakisema hivi vinywaji type ya "___ Energy" vinaongeza nguvu ya mwili na ashki ya mapenzi, pamoja na sifa zingine zingine ila nikawa siamini. Kutokana na maneno maneno mengi kuhusu hizi aina za vinywaji, basi sikuvutiwa navyo sana na niliamua kukaa navyo pembeni...
  19. R

    SoC02 Ngono na mazao ni biashara ya kubadilishana, yaani batter trade ya vijijini hivi sasa

    Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini. Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi kwa kupanga vyumba hivi hivi vya tembe. Kisha wanaanza biashara ya kubadilisha . Iko hivi ,kule...
  20. E

    SoC02 Jinamizi: Rushwa ya ngono vyuoni

    Swala la rushwa ya ngono vyuo vikuu na vyuo vya kati ni jinamizi linalozidi kuitafuna jamii yetu kila uchwao. Rushwa ya ngono si neno geni wala habari mpya kwa wafuatiliaji wengi wa mitandao ya kijamii. Takwimu zinaonesha takribani wahadhiri zaidi ya ishirini (20) wa vyuo vikuu Tanzania kwa...
Back
Top Bottom