To be honest, wanawake hawanaga lolote la kutufaa sisi wanaume kwenye mahusiano apart from sex.Yaani kutwa kucha tupo kuwahangaikia Wanawake eti kisa utelezi tu.Unajikuta umevutiwa na mwanamke unafall in love naye ukidhani utakusaidia kwenye Mambo mengi kando na kukupa mbunye tu kumbe...
Ifahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo.
Kuunganisha sehemu za siri kunawezekana kirahisi sana lakini watu kuunganika kwa kupendana kwa dhati hio ni case nyingine kabisa.
Sasa...
Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi.
Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule.
Sasa kama...
Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana.
Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally
===...
Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM.
Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
Ma lecturer
Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa?
Hivi mtumishi asiye na MAADILI, adabu wala nidhamu ni wa kutumikia umma wa watanzania? Huyo bwana Gwakisa tumesikia...
au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu?
Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
Wachina hawaishiwi mambo,
Kuanzia enzi za Kwenye kope feki, matiti feki, mimba feki, kucha feki, tako feki, hips feki, miguu feki, macho feki,nywele feki.
Sasa Ni awamu ya UKE FEKI.
Ikiwa Ni mwaka mmoja TU tangu wazindue teknolojia ya ngozi feki (body silicon skin).
Wakahamia Kwenye nguo...
Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo.
Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
Habari!
Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika.
Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti.
Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3.
Imefika...
Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300,
Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba.
Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
Wapenzi nchini Uganda wamehukumiwa kifungo cha miezi 30 jela baada ya kunaswa kwenye video wakishiriki tendo la ndoa katikati ya barabara inayotumiwa na watu wengi mchana kweupe.
Video ya wapenzi hao wawili ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ambapo baadaye walikamatwa na jeshi la polisi...
Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno.
Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume.
Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka,
Akisifiwa ana perform vizuri, hio sifa kwake ni kubwa kuzidi pongezi atazopewa kuchangia harambee...
Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu.
Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
Naomba nianze kwa kusema yafuatayo;
Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi!
Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa!
Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto!
Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake.
Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima.
Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani.
Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo.
Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.