ngono

  1. Madima

    Rafiki yangu alichepuka akapata gono, amwambiaje mkewe akapime?

    Rafiki yangu mmoja anapiga mtungi kawaida ila pia ni hardworking sana na anajali tu familia yake fresh, shida yake sometimes akipiga mtungi na anaweza kupita na yoyote then kesho anaanza kujuta. Juzi kati akapita na jimama flan hivi kitaa baada ya siku kadhaa dalili za gono hizi hapa ikabidi...
  2. Quavohucho

    Ugumu wa malezi: Mabinti siku hizi wanaanza mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo

    Kipindi hiki malezi ya watoto yamekuwa magumu sana hasa wa kike walio katika foolish age, sababu ya contact kubwa ya watu tokea maeneo tofauti tofauti na utandawazi. Yaani ni changamoto sana, watoto wengi wa kike wanaanza sex mapema sana. Yaani mtoto kike wa o level kuwa na mwanaume zaidi ya...
  3. Adolfms

    Ngono na mafanikio katika Biashara

    Habari ndugu zangu. Naomba kujua kama kuna uhusiano wa kufanya mapenzi nje ya mke au mume wako then ikapelekea anguko katika Biashara. Je, ukifanya ngono na mtu asiye wako kuna laana inaweza tokea au ni nadharia tuu. Je, nikweli matajiri huwa hawachepuki?
  4. Page 94

    Tusiendekeze Ngono. Tendo la ndoa liwe kwa makusudi ya uumbaji tu

    Wasalaam Wakuu. Katika dunia ya sasa, ngono imekuwa ni kibwagizo katika maisha ya binadamu. Iwe jinsia ke au me, wote wanapenda kufanya ngono kuliko inavyostahili. Kufanya mapenzi ni tendo takatifu kwa ajili ya kufanya uumbaji. Yaani kwa ajili ya kuendeleza kizazi. Lakini binadamu...
  5. Quavohucho

    Kweli ngono ya mapema hupoteza

    Saizi nimeamini kwamba ngono na vitendo vyovyote vinavyohusiana na ngono Asa ikiwa mapema humpoteza Mtu kimalengo ya baadaye, masomo, stara, hofu ya Mungu etc Hii kutokana ushuhuda wangu kabsa, nakumbuka navyoanza barehee darasa la sita / la saba, nilikuwa sio muongeaji kabisa, lakini mademu...
  6. M

    Kinywaji cha CocaCola na Limao zawa mbadala wa Condom ili kuzuia Mabinti Kushika Mimba

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini ) " Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
  7. M

    Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

    Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana. Hata hivyo nina...
  8. Apollo one spaceship

    Hivi UKIMWI bado upo kweli?

    Wadau nauliza kama UKIMWI upo maana uzinzi na uasherati baina ya wahusika umekuwa kama mnyororo fulani na hakuna anayejali. Basi ukigusa huo mnyororo, imeisha hiyo. Ni dhahiri kwamba mlolongo wa ngono zembe ktk jamii upo baina ya makampuni, vyuo, shule, vijiji, bar, maofisi, mahoteli, mageto...
  9. Analogia Malenga

    Kituo cha runinga chafungiwa kwa kuonesha vibonzo vya ngono Kenya

    Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeifungua kwa muda wa wiki nne runinga ya Mt. Kenya TV kwa kukikuka sheria na kanuni za maadili. Mamlaka hiyo imeitoza runinga hiyo faini ya Dola 5,000 za Marekani kwa kupeperusha kipindi cha vibonzo kilichokuwa na maudhui yasiyo na staha. Mkurugenzi Mkuu wa...
  10. Binti Abdullah

    Sarafu za malipo ya ngono enzi za Utawala wa Warumi

    Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie ya SPartacus. Because they show exactly what they were ment for - to pay a prostitute. Those coins...
  11. Volatility

    Rushwa ya ngono vyuo vikuu

    Kiukweli, sikuwasikiliza kichele na mbogo sababu ni waongo waongo, hawa wawili walichangia sana kuharibu uendeshaji wa serikali kwa kufuata misingi ya utawala bora, wanatia kichefu chefu sana. Sasa sielewi kati yao ni nani aliyewasilisha taarifa ya rushwa ya ngono vyuo vikuu mbele ya Bi. Samia...
  12. Mr Mose

    Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Mimi ni kijana wa miaka 23,tatizo langu ni kwamba napenda sana kuangalia video za kikubwa yaani X videos. Nipo addicted kiasi kwamba napoteza muda na pesa nyingi kununua bando. Natamani kuacha lakini nashindwa, nina miaka kama minne sasa naangalia karibia kila siku. Naombeni ushauri nifanyaje...
  13. sky soldier

    Nimeshuhudia kwa macho yangu, biashara ya photo studio imejaa sana matukio ya ngono

    Well, hii weekend nlienda kwa mshkaji wangu tuliemaliza nae chuo kimoja, yeye baada ya kusota kitaa akajiongeza hakuenda kusoma masters akafungua studio ya picha na maisha yakawa yanaenda. Sasa huyu rafiki hadi leo hajaoa na hua namtania sana aoe aache ubachela umri unaenda na kazi anayo...
  14. Analogia Malenga

    Wanaofanya ngono kinyume na maumbile hatarini kupata UKIMWI

    Makundi hatarishi yakiwemo wanaofanya ngono kinyume na maumbile, wanaotumia madawa ya kulevya na wale wanaofanya biashara ya ngono yametajwa kuwa kwenye hatari kubwa ya maambukizi UKIMWI. Hayo yamebainishwa leo Januari 26, mkoani Morogoro na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti...
  15. Miss Zomboko

    Serengeti: Baba afumwa akishiriki ngono na Binti yake wa miaka 11

    Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka (11). Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Chacha Nyambuche amekiri mtuhumiwa kukamatwa Januari 23, 2021 usiku baada ya...
  16. Analogia Malenga

    Trafiki anaswa na TAKUKURU akiomba rushwa ya ngono

    Askari wa kikosi cha usalama barabarani, Peter Albert Moshi anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana Rushwa (TAKUKURU) mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kuomba rushwa ya ngono kwa mama wa mtoto aliyegongwa na pikipiki ili aweze kukamilisha taarifa za uchunguzi wa ajali hiyo. Kamanda wa wa Takukuru...
  17. Mwamuzi wa Tanzania

    Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

    Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana. Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge. Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au...
  18. Little brain

    Iko wapi ladha ya ngono? Ni kwa ajili ya kuzaliana tu

    Wametengeneza matoy ila wameambulia patupu. Wamegongana wao kwa wao lakini wapi. Wamebadilisha matundu lakini hakuna ladha walioidhania. Wamebadili wanawake wa nchi na mikoa tofauti lakini kitu ni ile ile. Ngono ni kwa ajili ya kuzaliana tu, hayo mengine ni maujinga mliyojaziwa vichwani mwenu.
  19. domokaya

    Kuisafisha CHADEMA na tuhuma za 'usanii' na rushwa ya ngono, Wajumbe Kamati Kuu wajitokeze ku-declare interests

    Sintofahamu inayoendelea katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimegubikwa na sarakasi na nadharia nyingi. Moja ikiwa viongozi wa kamati kuu wanafanya usanii kwa kujidai kuwafukuza wabunge wale 19 uanachama wakati walifahamu fika mchezo mzima na walikuwa wakifahamu wale wabunge...
  20. GENTAMYCINE

    Ni kwanini jambo hili la kufanya ngono tuliachiwa wenyewe?

    Ni kwanini mambo mengi wakati tunakuwa ( tukikuwa ) tulikuwa tukielekezwa na Wakubwa zetu, ila la Kufanya Ngono tuliachiwa wenyewe? Je, ni Utashi gani au Ujasiri gani wa Kiasili umeumbwa ndani ya Ubongo wetu Binadamu kiasi kwamba Watu wote tu hatukufundishwa Kungonoka?
Back
Top Bottom