Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni moja ya maeneo ya kivutio zaidi nchini Tanzania na inajulikana kwa uzuri wake wa asili na wanyama wa ajabu. The Ngorongoro Conservation Area (NCA) ilianzishwa mwaka 1959 ili kulinda mazingira na wanyama wa porini katika eneo hili lenye historia ndefu.
Hifadhi...
Ngorongoro Conservation Area ilianzishwa mwaka 1959 na kuchukua eneo lililokuwa limekuwa Hifadhi ya Wanyama ya Ngorongoro tangu mwaka 1928. Eneo hili ni moja ya maeneo ya kipekee sana duniani lenye bioanuai tajiri na mandhari ya kuvutia. Ngorongoro ni makazi ya Mlima wa Ngorongoro, volkano...
DR. IRENE C. ISAKA, DG WA NHIF
Hadi mwishoni mwa mwaka 2021 ni 15% ya Watanzania walikuwa wanapokea huduma za tiba kwa njia ya bima ya afya.
Takwimu hizi zilijumuisha 8% kupitia taasisi ya NHIF, 6% kupitia taasisi ya iCHF, na 1.3% kupitia mifuko ya bima inayoendeshwa na watu binafsi.
Sasa...
Tarehe 01 Desemba, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokutana na viongozi wa kimila na jamii ya kimasai wanaoishi eneo la Hifadhi ya Ngorongoro alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda Tume mbili ambapo Tume ya Kwanza itafanya tathmini kuhusu masuala ya...
Wana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi.
CCM imepata ushindi wa kishindo
Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area.
Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
game
hifadhi
hifadhi ya taifa
historia
kuhusu
kusikia
ndani
ngorongorongorongoro crater
safari
serengeti
taifa
umewahi
utalii
utalii wa ndani
vivutio
wedding
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ataunda tume mbili, moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro na nyingine itaangalia utekelezaji wa uhamaji kwa hiari kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Rais Samia amesema hayo leo...
Wakuu
Hapa mori ilipanda
Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai, alikumbana na hali ngumu jana katika kijiji cha Nasipaoriong, eneo la Endulen, karibu na kituo cha Ormekeke. Wananchi walimtaka kuondoka haraka na kumzuia kuingia kwenye kituo cha kupigia kura.
Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato.
Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba.
Au jiulize Serengeti...
Katika pita pita zangu kwenye magroup ya whatsapp nimekutana na hii clip ikizungumzia hali ya vyoo eneo maarufu kama mafuvu eneo la hifadhi ya Ngorongoro barabara ya kuelekea serengeti, Naomba kujua uhalisia wake, video ni ya lini na hali ipoje
Askari Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wametakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka Hifadhi ya Ngorongoro ili kuendeleza juhudi za uhifadhi za eneo hilo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo Septemba 12...
Wakazi wa Ngorongori wamemuelewa Rais Samia na nia nzuri ya Serikali anayoiongoza kuwapatia makazi Bora na salama huko msomera
Wakazi hao wameamua kuachana na propaganda uchwara za wanasiasa waliofilisika kisiasa na sasa kwa furaha kubwa wapo njia moja kuelekea makazi mapya ya kisasa kabisa...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu.
Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa,
Waziri wa maliasili ajiuzuru?
Waziri wa ulinzi ajiuzuru?
Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana.
Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao.
Bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa...
Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imefutilia mbali shauri namba 41 la mwaka 2023 la wakazi wa Isela kijiji Cha Ndolezi mkoani Songwe dhidi ya serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutaka kupisha hifadhi ya Kimondo.
Hayo yamebainishwa Ijumaa, Agosti 23, 2024, jijini Mbeya chini ya...
Naongea na mheshimiwa Lukuvi uliyeongoza ujumbe mzito na wenye matumaini Kwa watu wa Ngorongoro. Dunia na watanzania Kwa ujumla walikuwa wanafuatilia Kila Neno ulilotamka Kwa jamii ya watu wa Ngorongoro.
Ulibeba ujumbe mzito wa Mheshimiwa Rais. Hata hivyo Nina wasiwasi na kazi nzuri uliyoifanya...
Hii nchi tuko hapa tulipo kwa kukosa maono, nchi inaendeshwa kihuni sana.
Ukiangalia swala la Ngorongoro ni uhini mtupu pale.
Unawafukuza wamasai wenye nyumba za majani unaruhus7 wawekezaji kujenga Mahoteli ya gorofa pale.
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala...
Ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ambayo ni endelevu, ni lazima tujifunze kuukubali ukweli halisi jinsi ulivyo na kukitokea tatizo, tukabiliane nao kwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa tatizo hilo na sio kufunika kombe mwanaharamu apite.
Ngorongoro kuna tatizo, Serikali ilitaka kulitatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.