ngorongoro

  1. P

    KWELI Polisi wamezuia mkutano wa hadhara wa CHADEMA Ngorongoro

    Wakuu, Nimeona hii taarifa huko X kuwa polisi wazuia mikutano ya hadhara ya CHADEMA imezuiliwa, je ni kweli?
  2. Mfikirishi

    Je, Rais Samia kufika Ngorongoro?

    Bila shaka nyote mnafahamu kuwa Dkt. Samia yupo ziarani mkoani Arusha kuanzia leo. Swali muhimu la kujiuliza: Je, atafika Ngorongoro kuwatuliza Wamasai? Pia soma Kuelekea 2025 - Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro
  3. Zanzibar-ASP

    Wamasai waliohamishiwa Msomera wamuingiza mjini mama, waonekana tena Ngorongoro!

    Katika jambo la kustaajabisha kabisa ni tukio la wamasai waliohamishwa kutoka Ngorongoro na kupelekwa kule Handeni, Tanga eneo la Msomera wameonekana pia Ngorongoro wakati huu wa sakata la wamasai kuungana kudai haki ya kuendelea kuishi Ngorongoro. Tulielezwa kuwa wakati wa zoezi la kuhamia...
  4. J

    Kiongozi wa maandamano ya Ngorongoro ni nani? Polisi na Intelijensia hawakuona viashiria?

    Kiongozi wa haya maandamano ni nani? Polisi na Intelijensia walishindwa vipi kuyazuia kabla hayajaanza? Kama wameshindwa kugundua maandamano makubwa kama haya, tuna uhakika gani na taarifa za kiintelijensia wanazodai kuwa wanazo?
  5. B

    Ngorongoro yaahidi kutenga bajeti ya elimu na miundombinu ya anwani za makazi

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeahidi kuanza kutenga bajeti sambamba na kuwashirikisha katika vikao, mikutano na shughuli nyinginezo Waratibu wa Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) ngazi ya Wilaya ili kusaidia sekta zote kuona umuhimu wake. Ahadi hiyo...
  6. Q

    Hotuba ya Mbowe kuhusu Utekaji na Maasai wa Ngorongoro yazaa matunda

    Tarehe 22/8/2024 CHADEMA kilifanya mkutano na vyombo vya Habari uliohutubiwa na Mwenyekiti wa chama hicho FAM. Mbowe aligusia maeneo makuu mawili. Mosi, Utekaji, pili, Maasai wa Ngorongoro. Baada ya mkutano huo yafuatayo yameanza kujitokeza na kutekelezwa; 1. Baada tu ya hotuba hiyo kesho yake...
  7. Madwari Madwari

    UMUHIMU WA WAMASAI NGORONGORO NA SERENGETI

    Hii video inamuonyesha mztaliii Ari Smith kutoka marekani akijifunza utamaduni wa wamasai akiwa akatika hifadhi zetu. Utalii wa vitu pekee hautoshi, unahitajika pia utalii wa utamaduni. Morroco ni nchi ambayo inapokea watalii wengi hawana mbuga lakini wanavutiwa na utamaduni wao...
  8. Pascal Mayalla

    Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  9. MIMI BABA YENU

    Reject manipulation by malicious actors; Lukuvi warns Ngorongoro residents

    By Our Correspondent, Ngorongoro. In a stern and resolute address, the Minister of State in the Prime Minister’s Office for Policy, Parliament, and Coordination, Hon. William Lukuvi, delivered a cautionary message to the residents of the Ngorongoro Division. He implored them to remain...
  10. Chakaza

    Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

    Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine. Wasiwasi wangu...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  12. Crocodiletooth

    Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

    °Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa...
  13. Megalodon

    Waziri wa TAMISEMI ndio aliyetoa amri ndugu zetu wa NGORONGORO wahamishwe bila ya utaratibu Maluku, waziri awajibishwe

    Moja ya viongozi wa hovyo kabisa ni huyu waziri wa TAMISEMI, kwanza sijawahi kumuelewa huyu jamaa capacity na uwezo wake. hapo alipo.? Hawa watu walipaswa kuwa wapiga madufu. Unfortunately wameingia kwenye ofisi za Umma wakidhan kwamba kila kitu ni maagizo Mkwe anakuaje waziri wako...
  14. Ileje

    Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

    Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini. Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro. Soma Pia: Rais Samia...
  15. Damaso

    Ngorongoro ni haki ya wamaasai, serikali msijitoe akili.

    Wamasai ni watu! Wamasai ni watanzania, wamasai ni waafrika na wamasai ni ndugu zetu! Nilipokuwa mdogo miaka ya 80 nilipata bahati kubwa ya kuzunguka na mzee haswa nyakati za likizo tukitembelea maeneo mbali, nilipata uzoefu wa kuona Maisha ya watanzania wenzangu, na hii ilinifanya kujifunza...
  16. R

    Issue si kusitisha zoezi la kuwahamisha wamasai Ngorongoro, Issue ni je motive behind kuwahamisha ameisitisha?

    Kama motive behind kuwahamisha wamasai hajaisema wazi na kusema ameisitisha once and for all, hizi zote zitakuwa drama! Ulaghai! Thinking wide, kama ameshapokea fedha na kusaini mikataba ya kimataifa na hao anaotaka kuwaweka Ngorongoro, je fate ya nchi yetu ni ipi kusitisha mikataba hiyo. For...
  17. Mhafidhina07

    wamasai wakizaliana ngorongoro kuna mpango gani dhidi ya ongezeko lao?

    tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho? je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
  18. naliwe

    KWA NINI KABUNI,LUKUVI NA MAONDA NGORONGORO?????

    Labda tu kwa uelewa wangu mdogo mnaweza kunifaamisha kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu?
  19. Mhafidhina07

    mnataka kunambia uteuzi wa kabudi na lukuvu ulibeba taswira ya ukombozi wa ngorongoro?

    nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano. but all in all,CCM wana wajinga wengi wa kufikiri,
  20. Q

    Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
Back
Top Bottom