ngorongoro

  1. K

    Tukihamisha watu Ngorongoro tusisahau na Serengeti

    Wataalamu walishaona mbali. Tusipoangalia tutaua migration ya Serengeti. ========= Thirsty Serengeti wildlife to get new water hole: Lake Victoria Kizito Makoye DAR ES SALAAM Tanzania (Thomson Reuters Foundation) - After decades of struggling to help the wildlife of Serengeti...
  2. Bikis

    Wananchi waishio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro waomba washirikishwe katika kutafuta suluhu ya kudumu ndani ya eneo hilo

    Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na mhe.Dr Damas ndumbaro(MB) watafute suluhisho la kudumu ndani ya wenyeji waishio ndani ya mamlaka ya...
  3. luangalila

    Kongole Rais Samia kwa kuiokoa Ngorongoro

    Hakika Mhe.Rais ametoa alert nzuri sana kuhusu kupotea kwa Ngorongoro Conservation area Eneo linaweza kuimili population ya watu 9000 ila leo Waziri aliposimama pale Ikulu alitaja figure zaidi ya idadi ya watu 9000 Hakuna Mtanzania asiyejua umuhimu wa NCA ktk sekta ya utalii. Hii mbuga pekee...
  4. Shadida Salum

    Ngorongoro Heroes yaendelea kusuasua

    Timu ya Taifa ya Tanzania vijana umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes imeendelea kusuasua kwenye mashindano ya Afcon u-20 baada ya kucheza michezo miwili na kuambulia alama 1. Baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Ghana juma lililopita, hii leo imetoka sare ya 1-1 na Gambia. Kwa matokeo hayo...
  5. Shadida Salum

    Ngorongoro Heroes uso kwa uso na Gambia

    Baada ya kupoteza katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Afcon U20 Juma lililopita, Timu ya Taifa Tanzania ya vijana chini ya miaka 20, almaarufu Ngorongoro heroes hapo kesho wanatupa tena karata yao kuvaana na Gambia katika Dimba la Stade Municipal de Nouadhibou huko Mauritania...
  6. Bikis

    Tamko la Madiwani na viongozi wa mila (Ilaigwanak) wa eneo la hifadhi ya mamlaka ya Ngorongoro (NCAA)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAMKO LA MADIWANI NA VIONGOZI WA MILA (ILAIGWANAK) WA ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO (TARAFA YA NGORONGORO) JUU YA UHIFADHI NA JAMII Sisi, Madiwani na Viongozi wa Mila (Ilaigwanak) wa Tarafa ya Ngorongoro (eneo la Hifadhi ya Ngorongoro), Wilaya Ngorongoro kwa niaba...
  7. L

    Pamoja na lockdown ya Corona, walikuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro Crater Tanzania

    Wazungu aka Mabeberu wana wivu sana, halafu wanataka kutuaminisha eti harakaharaka haina baraka na kutangulia sio kufika, kama sio wivu nini? Eti nimesikia miongoni mwa nchi 54 zilizoruhusiwa kuingia Ulaya Tanzania haimo. Huu ni wivu tu! Hawa sio wale waliokuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro...
  8. B

    Matumizi mabaya ya Ofisi na ubadhilifu ndani ya Ngorongoro

    MATUMIZI MABOVU YA OFISI NDANI YA HFADHI YA NGORONGORO Mheshimiw Rais shikamoo. Napenda kukupa pole wewe na serikali yako yote kwa ujumla kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa letu. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na hekima ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea kama Taifa Watanzania...
  9. Dominic Myumbilwa

    The Message; Ministry of Natural Resources & Tourism

    By: Eric Allard I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and I’ve experienced the country’s economic and infrastructure growth over the 30 years. I’ve also run my...
  10. Jamii Opportunities

    Estate Officer II at Ngorongoro Conservation Area

    The Ngorongoro Conservation Area (NCA) was established under National Parks Ordinance CAP. 412 of 1959. This unique area is currently managed by the Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) pursuant to CAP 284 of 2002. It is under the Ministry of Natural Resources and Tourism. The main...
  11. B

    Wizi na matumizi mabaya ya ofisi Hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Rais, Makamu na Waziri Mkuu shikamooni. Poleni na majukumu magumu ya ujenzi wa Taifa letu la Tanzania. Ninawatakia mwaka mpya mwema mkiwa na afya njema. Watanzania wenzangu habari za leo na poleni na majukumu ya kupambana na maisha. Katika kumalizia mwaka naomba leo naomba...
  12. hiram

    Ngorongoro crater ipo KENYA?

    ndege aliyopanda edo kumbwembe
  13. B

    Ubadhilifu ndani ya hifadhi ya Ngorongoro

    Rais shikamoo. Hongera sana kwa kazi nzuri ya ujenzi wa Taifa hili changa. Kwa kweli ndani miaka mine umeonyesha mabadiliko makubwa sana katika nchi yetu. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya njema ili utimizie ahadi zako zote ulizoplan kuzikamilisha. Pamoja na juhudi zako za dhati ila bado kuna...
  14. L

    Hivi ni macho yangu ama? Bango la Ngorongoro

    Niende kwenye hoja.. Ni hivi kama tunavyojua upekee wa mbuga yetu Ngorongoro na hadhi yake mpaka urithi wa dunia unaitambua. Kwa hiyo hata vitu vyake vinatakiwa viwe na standard za kuridhisha ili ikue na ikue zaidi. Binafsi silidhishwi na standard ya bango la Ngorongoro. Bango hilo ni pendwa...
  15. B

    Ubadhirifu na matumizi mabaya ya ofisi ya Hifadhi ya Ngorongoro

    Mheshimiwa Rais shikamoo, Awali ya yote nikupongeze sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kulijenge Taifa letu. Hongera sana na Mwenyezi Mungu aendelee kukupa nguvu na ujasiri kulifikisha taifa hili kwenye nchi ya Kaanan. Pamoja na juhudi kubwa unayoifanya ila bado kuna Watanzania wachache ambao...
Back
Top Bottom