By Laurel Sutherland on 18 February 2022
- In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...
Huko kaskazini mwa Tanzania, zaidi ya wakazi 70,000 wa jamii za Kimasai wanakabiliwa tena na kufukuzwa kutoka kwenye ardhi ya mababu zao baada ya serikali kuweka wazi mipango ya kukodisha ardhi hiyo kwa kampuni kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - UAE, ili kuunda ukanda wa wanyamapori kwa ajili ya...
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema suala la idadi ya watu ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro ni kubwa, hivyo kama kuna watu watakaotaka kuhama kwa hiyari serikali itawahudumia.
Pia amewataka wakazi wa Ngorongoro wasiwalazimishe watu watu kubaki kwa kuwa...
Picha: Fredrick Lowassa
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama Watanzania wengine.
“Wamasai wa Ngorongoro ni Watanzania na wana HAKI sawa kama Watanzania wengine...
UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi
Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro si eneo ambalo ni Hifadhi ya Taifa na vile eneo hili la Ngorongoro halipo chini ya shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na badala yake ni shirika huru kama jinsi ilivyo...
Kuna watu wanakazana kuwa wafugaji waachwe Ngorongoro sababu wameishi na wanyama miaka na miaka. Mmojawapo Shivji. Lakini kwa makusudi wanashindwa kusema kuwa kuna idadi fulani ya watu ikifika ecosystem inacollapse. Haiwezi kuwa hivyohivyo kila siku.
Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya...
Nawashauri Serikali wakiweka Siasa kwenye swala hili la Ngorongoro hii mbuga baada ya miaka itakuwa tatizo. Kuwahamisha wamassai kule ni lazima kama wana nia njema. Waziri mkuu ameweka siasa zaidi. Tunaongelea watu pekee wakati tatizo kubwa ni mifugo karibu 1M. Waandishi wa habari wametenda haki...
TAARIFA JUU YA SUALA LA KUHAMISHA WAFUGAJI WA JAMII YA MAASAI KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO
UTANGULIZI
Ndugu Wanahabari,
Ngorongoro ni eneo la shughuli mtambuka. Kiutawala ni Tarafa mojawapo ya wilaya ya Ngorongoro yenye vijiji 25 na Kata 11. Kiuhifadhi, eneo hili linasimamiwa na Mamlaka ya...
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina eneo la mita za mraba za kutosha kabisa kuishi wamasai wote kwani nchi ya Zanzibar inaingia mara 7...
Rasmi naomba kutoa kusudio langu la kuitisha maandamano makubwa ya kunusuru hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Nimeanza mchakato wa kuomba kibali polisi na mamlaka zingine husika ili kuitisha maandamano makubwa yatakayofanyika hivi karibuni ili kuishinikiza serikali iwaondoe binadamu wote waliomo...
Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
Inasikitisha sana tunakoelekea, jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea kata ya Loliondo mkoani Arusha na kwenye hoja za msingi alizoongelea tena kwa urefu na kuwapa wakazi wa eneo lile fursa ya kuchangia ni kuhusu pori tengefu la Loliondo.
Tena kama haitoshi alisisitiza kabisa kwamba...
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
“Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika kuongeza pato la taifa kwa uwepo wenu na uhifadhi,” - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi...
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
Baada ya Maulid Kitenge kufanya tour na timu yake Ngorongoro watu walijitokeza nakusema alivyolipwa na kwamba ana tekeleza matakwa ya watu flani na siyo utashi wake.
Siku chache Balile kawaitisha vyombo vya habari na wanahabari kuwashawishi au kupiga kampeni kuwaondoa Wamasai Ngorongoro...
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama...
Kuna taarifa mpya kwamba eneo la hifadhi ya Ngorongoro, inatakiwa kubadilishwa iwe kitalu cha uwindaji.
Inadaiwa kuwa Mwarabu wa Loliondo anamwaga fedha kuhakikisha anapewa eneo hilo, hususan kreta.
Ndio maana wakubwa wanapambana kuwatoa Wamasai humo.
Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa.
Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria.
===
Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
Hali wadau wa JF, habari zenu.
Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary.
Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha wananchi wa huko kwenda maeneo mengine. Lengo ni kuokoa hifadhi ya Crater ya Ngorongoro.
Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.