Kwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa.
Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo...
Ngorongoro ni urithi adimu sama duniani mwenyezi mungu ametupa Watanzania. Tunatakiwa tuilinde kama mboni ya macho yetu.
Cha kusikitisha watu wanawatumia Wamasai kama kivuli cha kuhifadhi mifugo yao kwenye hifadhi ya taifa.
Watu wenye pesa wameifanya hifadhi ya Ngorongoro kama sehemu ya...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii iandae semina kwa wabunge wote ili kujenga uelewa wa pamoja kuhusu yanayoendelea katika hifadhi ya Ngorongoro.
Mheshimiwa Majaliwa ametoa maagizo hayo leo (Jumatano, Februari 9, 2022) wakati alipochangia taarifa ya Kamati ya...
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa...
Wanabodi JF!,
Nawasalimia popote pale mlipo!
Naomba niende kwenye Mada hii kuhusu NGORONGORO CONSERVATION AREA AUTHORITY.(NCAA).
Nimefuatilia mijadala mbalimbali ambayo imekuwa ikiendelea kwenye social platforms,takriban muda wa wiki moja na ushei sasa.
Kuna wachangiaji ambao wamegawanyika...
KILICHOJIFICHA HIFADHI YA NGORONGORO
Katika hali isiyokuwa ya kawaida hivi karibuni kumeibuka mijadala mbalimbali kwa wale wanaojiita wanaharakati (Uchwara) wa kutetea haki za watu wa Jamii ya kimasai waishio Ngorongoro.
Hapa kuna hoja kubwa inayozungumzwa na wanaharakati hao kuwa wanaotaka...
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita.
Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja.
Swali: Mtu huyu ni nani?
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro.
Ukikosa nafasi, basi sikiliza hotuba yake ambayo bila shaka itapatkana ikiwa ni...
#NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona
Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo.
Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo tunawachukulia poa sana!
Ila wana thamani kubwa katika ulimwengu huu! Dunia nzima kwa sasa inateigemea...
Kwa heshima na taadhima, Mhe Rais kuna kila dalili za upigaji katika Mamlaka hii. Kuna tetesi za chini kwa chini kuwa NCAA imewalipa waandishi wa habari pesa nyingi wakiongozwa na Maulid Kitenge chini ya Uratibu wa mmiliki wa gazeti la Jambo la habari ndugu Mchange. Nguvu wanayotumia ni kubwa...
Wakati watu wanashinikiza wanangorongoro waondolewa nawakumbusha kuna amri ya mahakama ya Afrika Mashariki EACJ inaikataza Serikali kuwaondoa, na serikali imekuwa ikiheshimu amri hiyo toka Sept 2018, tunataka Serikali isiyo heshimu utawala wa sheria? #Ngorongoro
Eneo la Ngorongoro asili...
Wakuu,
Gazeti la JAMVI LA HABARI limeendelea kuandika masuala yanayohatarisha ustawi wa watu, wanyamapori, mifugo na uhifadhi katika Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro.
Gazeti hilo rimeripoti kuwa watu wameongezeka kutoka watu 8000 mwaka 1959 hadi 110,000 mwaka huu linalosababisha...
Mtandao wa DarMpya Media umeripoti makala fupi inayoonyesha hali ya Hatari ya kutoweka kwa hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kutokana na kuingiliana kwa kasi kubwa baina ya binaadamu, mifugo, uhifadhi na wanyama pori.
Katika Makala hiyo fupi Dar mpya ambao wamerejea andiko la Gazeti la...
Wasalaam kutoka Ngorongoro.
JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali...
Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
Taarifa kwa Umma
Katibu Mkuu John Mnyika ameiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuitaarifu rasmi kuwa Chadema hakitashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge kwenye Jimbo la Ngorongoro na kata saba na badala yake amesisitiza kutaka iundwe Tume Huru ya Uchaguzi itakayohakikisha chaguzi...
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Ngorongoro, wamewadondosha wagombea wasomi na vigogo waliokuwa wanapewa nafasi kumrithi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo, William Tate Ole Nasha aliyefariki Septemba 27, 2021.
Katika matokeo ya kura za maoni yaliyoshirikisha wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.