ngorongoro

  1. Ojuolegbha

    SI KWELI Tundu Lissu akemea Wamasai wa Ngorongoro kudanganya

    Lissu amewakemea wamasai wa Ngorongoro kudanganya. Asema waache kutumika vibaya. Abainisha ukweli kuhusu manufaa ya kuhama Ngorongoro.
  2. chiembe

    Kwa nini Mwabukusi amemteua swahiba wa Lissu, na hasimu wa serikali, Dk. Nshala afuatilie suala la Ngorongoro?

    Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers Environmental Action Team. Baadae walikula hela za taasisi kisha wakaiua. Taasisi hii ilitelekeza mali...
  3. Manyanza

    Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

    Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo ni msaidizi wa mkuu wa kituo cha polisi - Bunge (Dodoma). Ni afisa anayefahamika sana...
  4. and 300

    Tetesi: DC Magoti kuhamishiwa Ngorongoro

    DC namba 1 duniani anatajwa kuwa atahamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
  5. Tabutupu

    Tetesi: Unajua nini kuhusu ngorongoro? Nani mkweli

    1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii. 2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99. 3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017) 4. Kuna...
  6. and 300

    Ngorongoro, Karatu, Monduli & Longido ziunganishwe

    Jamii moja ya Masai inapatikana katika Wilaya tajwa ziunganishwe kuwaletea maendeleo kwa haraka
  7. Abdul Said Naumanga

    TLS Yatoa Tamko Kuhusu Maandamano ya Wananchi wa Ngorongoro, Yataka Haki Zao Ziheshimiwe

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa wito kwa Serikali kufuatia maandamano yaliyofanywa na mamia ya wananchi wa Ngorongoro tarehe 18 Agosti, 2024, wakidai kuheshimiwa kwa haki zao za kimsingi. Maandamano haya yalionyesha hisia kali kutoka kwa wananchi wanaopinga kuondolewa kwenye ardhi...
  8. Dalton elijah

    TLS Kuunda kamati Maalum Sakata la Ngorongoro

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi amesema Baraza la Uongozi la chama hicho limeunda kamati maalum kufuatilia suala la Ngorongoro ili kujua ukweli wake Mwabukusi amezungumza hayo alipokutana na wanahabari leo, Jumanne Agosti 20.2024 ambapo amesema pamoja na...
  9. Dalton elijah

    Askofu Mwamakula Aishangaa Serikali Kuyafuta Makazi ya Ngorongoro

    Ndugu Watanzania! Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
  10. Heparin

    Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

    AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
  11. LAZIMA NISEME

    Kwa nini serikali inawahamisha wananchi wanaoishi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro?

    Kuwahamisha wananchi wa jamii ya Kimasai katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ni suala lenye uzito wake kwa taifa linaloweka maslahi mapana ya utunzaji wa mazingira. Baadhi ya sababu ni kama ifuatavyo:- Uhifadhi wa Mazingira, Serikali inawahamisha wananchi kwa lengo la kuhifadhi mifumo ya...
  12. ngara23

    Hili sakata la Binti aliyebakwa na wahuni lisitufanye tupuuze taabu ya maelfu ya watu huko Ngorongoro

    Jana ilizuka taarifa za Masai wa Ngorongoro kuandamana kudai haki zao za kibinadamu kama haki ya kupiga kura, kupata huduma za kijamii kama shule, hospitals n.k. Ardhi ya Masai Ngorongoro ilichukuliwa na Serikali Kwa ajili uhifadhi lakini Kuna Mashaka sana juu wa watu hao. Leo limezuka suala...
  13. Roving Journalist

    Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro: Shughuli za utalii bado zinaendelea licha ya taarifa za Maandamano

    MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetoa taarifa kwa Umma juu ya shughuli za utalii katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwamba zinaendelea vizuri pamoja na uwepo wa baadhi ya wananchi wanaoishi katika hifadhi hiyo kuandamana leo tarehe 18.08.2024. NCAA katika taarifa yao hiyo, imesema...
  14. Li ngunda ngali

    Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

    Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao. "....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye...
  15. Thom Munkondya

    Je, ni sawa wananchi wa Ngorongoro kuhamishwa?

    JE NI SAWA WAKAZI WA NGORONGORO KUHAMISHWA..? Na Thom munkondya. Kwa mujibu wa sheria zetu za ardhi,mtu yoyote au mmiliki yoyote wa ardhi katika eneo lolote la nchi yetu awe na hati miliki au asiwe na hati miliki anaweza kuondolewa kwenye ardhi yake kama tu jambo linalofanywa au linalotakiwa...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

  17. Huihui2

    Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya...
  18. BLACK MOVEMENT

    Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

    Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025 Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu. Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura

    Hali halisi ilivyo katika kata ya Enduleni Ngorongoro ambapo Jeshi la Polisi limefika kwa ajili ya kuzuia maandamano ya wananchi ambao wamefika mahali hapa kupinga uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wa kuwazuia wananchi wa tarafa ya Ngorongoro kupiga kura. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro...
  20. T

    Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
Back
Top Bottom