Habari wakuu. Tafadhali naomba msaada kujua mishahara ya ngorongoro conservation area?
Naomba kujua hasa NCAA 3, NCAA 4 na NCAA 5.
Na je hili jeshi usu huwa inachukua muda gani kuhitimu.
Asanteni sana🙏🏾
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba.
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana.
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya...
Habari za Jumapili popote mlipo.
Nafikiri wengi mnajua kuhusu mpango wa serikali wa kuwatafutia ndugu zetu Wamasai makazi mapya ili kuilinda hifadhi ya Ngorongoro. Hili jambo lilileta mjadala mkubwa sana miongoni mwa jamii yetu ya Watanzania.
Wapo waliopinga kuhusu mpango wa serikali na pia...
Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani...
Salama wandugu,
Sina lengo la kuchafua zoezi Ila nikiangalia kwa macho yangu najitahidi kufikicha macho nimuone vizuri mmasai simuoni anayehamishwa naona Kama jamii ya wameru wa Arusha,isije kuwa watu wameona ni fursa tayari hapo au serikali inatuchezea sarakasi tuamini kweli wamasai wanahama...
Wamaasai kutoka maeneo mbalimbali wamefanya maandamano ya amani hadi ubalozi wa Kenya Tanzania, uliopo Oysterbay jijini Dar es Salaam leo juni 17, 2022 kuiomba serikali ya Kenya iingilie kati upotoshaji unaofanywa na asasi za kiraia na wanaharakati katika zoezi la kuhama kwa hiari linaloendelea...
Kwenye Hifadhi za Taifa, ukiachana na Zoo, huwa kuna vibao vimeandikwa Dont feed birds or animal. Kwamba usiwalishe ndege na wanyama wengine na ni kosa kubwa sana ndani ya hifadhi kuwatupia hata nyani ndizi.
Hii ni suala la kisayansi zaidi na sio suala la kiusalama kwamba unaweza kuwalisha sumu...
Ninajiuliza huyu mbunge atapigiwa kura na nani huko Ngorongoro baada ta wapiga kura wake kuhamishiwa Handeni?
Sijasikia familia ya huyo Mbunge imehamishiwa Handeni kutoka Ngorongoro.
Pili baada ya Wamaasai kuhamishwa Ngorongoro hiyo wilaya itafutwa kiutawala au nini hatima yake?
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Mhe. Dkt Pindi Chana akiwakaribisha wananchi waliohama kwa Hiari kupisha shughuli za uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Leo Juni 16, 2022 Kaya takribani 20 zimewasili katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga eneo...
Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo.
Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania.
Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na...
Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu waandishi wa habari, wanasheria, waangalizi wa haki za binadamu na asasi za kiraia kuingia Loliondo...
Wanabodi
Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi.
Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
Wabunge 3 wa CCM akiwemo mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai, Prof Kitila Mkumbo na Christopher Olesendeka wamehojiwa na polisi kwa tuhuma za Kufanya uchochezi, kupanga njama na wananchi wasitii maagizo ya Serikali Loliondo. Kamanda wa Polisi Dodoma, amesema hana taarifa hizo.
Pia soma -...
Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
Today June 15th, 2022, the Maasai living in Kenya and those from Ngorongoro who recently crossed the border to Kenya,plan to gather in front of the Tanzania High Commission in Nairobi, Kenya to protest what they term as 'a brutal eviction of Maasai from the crater'.
The demonstration is...
Wasikilize…
Wenyeviti wa Vijiji huko Ngorongoro wamesema walipewa muda mdogo kusikilizwa na waziri Mkuu katika Mkutano. Na wamesema hawajakubaliana kuondoka eneo hilo kama ilivyoonekana kwa baadhi ya watu ambao walionesha kuwa tayari kuondoka katika hifadhi hiyo.
===================...
WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho
Na badala yake tutawashaurini kuondoka ili maisha yaendelee kwanini mnatetea kuishi porini ambapo kuwepo kwenu...
Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.