Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo nimeshatumia dawa mbalimbali kutoka kwa specialist mmoja (za kupaka) lakini bado.naomba anayejua...