Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii
Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo:
Makundi 4 ya ngozi,jinsi ya kuipima ngozi...