ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    NCHI NGUMU HII

    TIC wanaitaji watu watano Ila tumeitwa watu 1900 kwenye usaili yaini kiufupi kila nafasi moja inagombaniwa na watu 390+
  2. 2019

    Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

    Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa.... 1. Boxer, bajaji 2. Betri 3. Nyembe za Dorcco. Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa. My take. mo ajiri...
  3. Manfried

    Kwenye haya Maisha kuna watu ni untouchable , hii nimejifunza kwa njia ngumu.

    Nilichojifunza sio kila mtu anagusika . Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane . Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani. Mimi mwenyewe...
  4. A

    No reforms No election ni project nzuri lakini ngumu mno. Plan B & C ni ipi?

    Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe.... Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie. Kukubali Uchaguzi katika...
  5. R

    Kuna baadhi ya koo / makabila ni ngumu kupata maendeleo kwa sababu ya hizi tabia

    Mtu katoboa kwenye familia, watu wanarundikana kumuomba pesa tena kwajili ya matumizi badala ya mitaji, kukodi mashamba, n.k. Ndio hawa virusi wanafika miaka 40 bado wanaomba pesa, ukiwanyima unatangazwa ukoo mzima unaanza kushambuliwa huwapi pesa ndugu zako, yani wanachojua ni matumizi tu na...
  6. fufumajeusi

    Changamoto gani ulipitia ukaitatua, ukaamini nikweli kwamba nyakati ngumu hazidumu

    wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha. elimu yangu nina bachelor ya economics and statistics (Baest tangu 2019) upande wa familia nina mtoto mmoja ,shughuli yangu...
  7. Top Gun

    Watoto wanazidi kuwa wakali, pesa nayo imekuwa ngumu!, kazi hakuna! Si nikuingizana CHAPUTA huku?

    Acheni nyie tulizo la kweli za stress za mwaanume ni kujipatia dubwasha tepe tepe likikukatia viuno huku unasahau madeni for some moment. Bangi hatuvuti, pombe hatunywi, sasa tufanyeje, tujxpxge vidole au? Ndio hivyo ukata umekuwa mkali, wakubwa wanakula wake zenu, nabii wa mchongo wanakula...
  8. Carlos The Jackal

    CCM msitumie Machawa kumjibu LISSU, ni Heri kua kimya, Ubaya wa Lissu anazungumza Ukweli na Haki, ni ngumu mno kujibizana naye

    Ukubali, Ukatae, Huyu LISSU ni Gifted, Brilliant, ana akili Nyingi mnoo, ana upeo Mkubwa sana alafu Ndani yake ana Nguvu kubwa ya Kiroho. Haingii Akilini Risasi 16 MTU anatoboa ,alafu bado umchukulie poaa, watu Huwa wanaondoshwa na Risasi Moja au Mbili !!. LISSU hatua alofikia ni ASOOGOPA...
  9. R

    Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  10. Jack Daniel

    Hali ngumu ya maisha na tunavyoishi Kwa mazoea.

    Habari jamiiforum. Bila kupoteza muda leo tujadili hali hii ngumu ya maisha. Wakuu.maisha mtaani ni magumu,jiji la Dar es salaam ambalo pengine ndiyo kioo cha hata mikoa mingine linajumuisha watu wengi wenye vipato vya chini mno. Ukiangalia Kwa haraka haraka au ukidanganyikq na stori za...
  11. Trubarg

    Kufanya biashara na wajasiriamali ni kazi ngumu sana

    Hizi ndo hints; 1. Wengi wao wanahali mbaya 2. Wengi wao hawana ela 3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa 4. Wengi wao ni walalamishi. 5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
  12. Cannabis

    Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  13. M

    Pre GE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  14. Nomadix

    Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

    Habari zenu wakuu Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia ... Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama: -Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara...
  15. W

    Videos: Siasa ngumu zinahitaji watu wagumu, matukio kadhaa yakionyesha msimamo na ujasiri wa John Heche

    Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano Heche na Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya
  16. Braza Kede

    Je wajua ukitongoza mtu kwa lugha asili ya kijijini kwenu ni ngumu sana huyo mtu kukukataa?

    We jiamini tu na hakikisha wote mnaweza kuelewana kwa hiyo lugha, kwisha habari. Trust me hapo lazima mtu ang'ang'ane nawewe. ===== Kwa hisani ya Braza Kede
  17. M

    Ukiwa na hii skills ni ngumu kukosa kazi au michongo .

    Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills" Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills . Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati. Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa...
  18. Braza Kede

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni ngumu kumpata mwenza mnayeendana

    Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana. Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari...
  19. Yoda

    Hakuna sehemu ngumu kama mazishi yanayowakutanisha mahasimu pamoja

    Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
  20. MIXOLOGIST

    HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
Back
Top Bottom