ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Ajichoma moto akipinga 'rushwa na hali ngumu ya maisha'

    Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga "rushwa na hali mbaya ya maisha". Mtu huyo alifukuzwa kazi katika benki kwa kuanika vitendo vya rushwa vilivyowahusisha maafisa wa...
  2. mathsjery

    Ukishainuka kimaisha basi usiiname na ukiinama basi usikae kabisaa!

    Huwezi ishi maisha mazuri siku zote kama hauna mipango mizuri, katika kila unachofanya. Kama umebahatika kufika mbali kimaisha yaani sio choka mbaya au fukara basi hakikisha hauwi fukara tena wala choka mbaya(yaani ikitokea umekuwa fukara na hauna roho ngumu unaweza kufa kifo kibaya kwa sababu...
  3. M

    Uchaguzi 2020 Wiki ngumu na ya kihistoria kwa Tume ya Uchaguzi. Kumtangaza aliyeshindwa au aliyeshinda

    Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo. Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika akiwaonya hawa anaowateua halafu asikie wamemtangaza mpinzani. Kwa upande wangu wasiwasi wangu uko...
  4. TODAYS

    Zanzibar 2020 Kuna la kujifunza kwa kauli hii ngumu ya Maalim Seif kwa ZEC na NEC

    Ninewahi kusema uchaguzi wa mwaka huu si lele mama maana kila mtu anataka kuonyesha dunia nini maana ya haki na uhuru kwa wananchi wake. "siku zote mimi nilikuwa nawazuia watu wasiingie barabarani nyote mnajua, mwaka huu simzuii mtu, atakaye amua kufanya lolote, kutetea haki yake si mzuii...
  5. A

    Uchaguzi 2020 CHADEMA walijiandalia kifo chao wenyewe mwaka 2016-2020

    Kuelekea Mwisho Mwa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Hapa Tanzania Kumekua na Matukio mbalimbali ya Wagombea Urais ,Ubunge , Udiwani huku kila mmoja akitamba Kuchukua Dola Huku Chama Kikongwe CCM Kikitamba Kuendelea Kushikilia Dola Ambayo kiuhalisia Wanayo Toka Mwaka 1961. Mchuano ni Kati Ya Vyama 14...
  6. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba akiwa Handeni Vijijini: Hali ya maisha ya watanzania ni ngumu sana vyuma vimekaza nichagueni nifute umasikini katika nyanja zote

    HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  7. A

    Hivi kwanini kwa sisi wanaume wengi, ni rahisi kumpata mdada usiemtaka, ila kumpata mdada unaemtaka inakuwa ni ngumu?

    Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati. Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila...
  8. SheriaE

    Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
Back
Top Bottom