ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  2. Nyankurungu2020

    Kama Taifa tukubali kuna makosa yalifanyika, tujirekebishe yasijirudie, japokuwa ni ngumu kuondoa makovu yaliyopatikana

    Kuendelea kushupaza shingo kuwa hakuna makosa yaliyofanyika juu ya uvunjifu wa haki za binadamu hapa nchini kwetu ni kupoteza muda. Maana ni kutaka kujenga taswira isiyofaa kuwa mauaji, ukatili na uvunjifu wa sheria ni jambo la kawaida. Tukubali kuwa kuna makosa makubwa yalifanywa na vyombo vya...
  3. M

    Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  4. The only

    Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

    Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
  5. M

    Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

    Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
  6. M

    Ngumu sana kupata mke wa kuoa

    Nilitangaza kutafta mke ila vigezo tajwa Wengi hawakuvitimiza kwa ufasaha 1.Mwanamke mkristo 2.Mwanamke siyo mwembamba ila awe na umbo mashalah (wamejitokeza wenye unene wa tumbo) 3.Elimu sikuijali sana 4.Sikutaka mfupi, sitaki kafupi, Wengi waliojitokeza na kati ya hao sifa hawana
  7. The River

    Kuendesha biashara yako mwenyewe ni kazi ngumu sana

    Wasalaamu wadau,, nimekuwa kila nikianzisha biashara sitoboi kabisa,..kwa mfano nilikuwa namiliki saloon yangu ya kiume lakini cha ajabu sipati wateja,..yaani unaweza kukaa kutwa nzima ukaambulia vichwa viwili tu,,,siku nikipata wengi ni watatu mwisho,.. Vivyo hivyo hata biashara zingine...
  8. M

    Hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi: Mwalimu wa Chuo Kikuu amlilia Rais Magufuli anusuru wafanyakazi

    Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha FRIDAY JANUARY 29 2021 Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
  9. Jokajeusi

    Shule ni ngumu kuliko mtaa

    Wakuu! Kwa uzoefu wangu, ninaona shule ni ngumu kuliko kitaa. Mimi nikikuburuza shuleni ukakaa, basi jua mtaani hutonishinda kwa chochote kile hata kuzaa tuu watoto ambao ni bure kabisa. Kuna mdau kaanzisha mada kasema Vipanga jeuri mtaa unawanyoosha, kiukweli mimi nilishaapa kuwa nikikuzidi...
  10. AbuuMaryam

    INAUZWA Pikipiki nzuri, ngumu inauzwa kwa bei nafuu!

    HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA... BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA... NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA KWANZA WAKATI ZINAINGIA TU... Documents za msingi na Original zipo kabisa unapewa pikipiki yako...
  11. N

    Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

    Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni. Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo...
  12. E

    Tatizo la ujinga Tanzania bado ni kubwa

    MJINGA NI NANI? NINI MAANA YA UJINGA? #Kamusi (Dictionary) inatafasiri neno Ujinga (ignorance) kama ukosefu wa maarifa au taarifa juu ya jambo Fulani. Lack of knowledge or information. #Kamusi (Dictionary) inaendelea kusema; Mjinga ni mtu anaeukataa au kuupuuza ukweli kwa makusudi. A person who...
  13. Idugunde

    Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

    Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense? Unaposema mtakomaa ili...
  14. Infantry Soldier

    Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya secondary ya serikali. Wachache waliobahatika walijulikana kata/tarafa nzima. Je, wewe ni mmoja wao? TABORA BOYS SECONDARY SCHOOL Juzi...
  15. Naanto Mushi

    Ukuaji wa uchumi unategemea sana hisia za watu, tuendepo hali ya uchumi itakuwa ngumu ikiwa watu watakuwa na hisia za kutishwa na vyombo vya serikali

    Habarini wakuu, Umuofia kwenu!! Kuna matukio kadha wa kadha ambayo yametokea ndani ya kipindi cha mwezi mmoja uliopita, mengi yakihusiana na kesi mbalimbali za TRA dhidi ya raia na makampuni ya kitanzania. Issue kama ya shule ya St. Jude, Mobisol na kuna mtu wangu wa karibu anafanya kazi benki...
  16. D

    CCM iwaachie wana-CUF inaowashikilia Liwale na kuwabambika kesi ngumu

    CCM IWAACHIE WANA-CUF INAOWASHIKILIA LIWALE NA KUWABAMBIKA KESI NGUMU CCM inajua kwamba haikushinda Uchaguzi Jimbo la Liwale na kwenye kata nyingi za Jimbo hilo. CCM ilitumia Vyombo vya dola kuvuruga Uchaguzi ule kama ilivyofanya maeneo mengine nchini. Pamoja na kupora Ushindi na kusababisha...
  17. masara

    Asilimia 90 ya mahusiano bora yanajegwa kwa misingi ya kuvumiliana na kubebeana madhaifu, huyo ndio maana ya upendo

    za mda huu na weekend kwa ujumla wake,niende kwenye mada moja kwa moja, kwa mfumo wa kuanzisha mahusiano katika karne hii ya kizazi kipya, ni ukweli usiopingika wengi wetu huwa hatuchaguliwi nani au familia gani ya kuwa nayo kimahusiano ambapo ndio inaleta familia na watoto. kwa sababu...
  18. Mackanackyyy

    Hali ngumu sana mtaani, unaweza kuuawa kwa sababu ya Elfu 20

    Tukiacha kundi dogo la Viongozi wa Kisiasa wa Chama kilichojimilikisha madaraka, kwa kweli hali ya maisha kwa Wananchi ni ngumu sana huku mtaani,tuache kuvunga.. Hela hakuna wakuu, Ukitoka nyumbani na sh. laki moja unarudi huna hata sh. 100...bila shaka hali hii hainikabili mimi peke yangu...
  19. D

    Ninakubaliana na Rais hakuna vita ngumu kama ya uchumi, tushikamane

    Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji. Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa...
  20. Morogoro kaskazini

    Kwanini drone za Iran ni ngumu kuonekana kwenye rada

    Nimekuwa nikijiuliza swali kwa muda. Drone za Iran zimefanikiwa kuingia saudia bila kugundulika kwenye rada kila siku zinapita katikati ya aircraft carries za Marekani na kupiga picha muhimu kisha kuondoka bila kugundulika yaan mimi nakosaga majibu kabisa
Back
Top Bottom