1. Kaskazini walipata Elimu, exposure na Imani mapema sana. Sisi Visiwani tukiwa tunazaliana bila Mpango na kudharau Elimu dunia
Eg. Northern tourism circuit -Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire ndo zinaongoza kuingiza pato kiutalii
Tanzanite inatoka Kaskazin pia
2. Nipo Kaskazini...
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.
Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko...
Si kila kava ni kwajili ya ulinzi wa simu, Kuna kava ambazo zipo kwajili ya mvuto, ikiwa unanunua kasha kwa lengo la mvuto chagua yoyote itayokuvutia lakini kwa lengo la ulinzi hasa kwetu wenye uchumi wa kawaida tunaopenda kutunza simu, yatupasa kujikita na hadhi ya ulinzi wa kasha.
Kava nzuri...
Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam.
Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
kwa africa kumuondoa incumbent leader sio kitu rahisi hata kidogo.inahitaji kujipanga hasa
Nilitamani kuona Mbowe anatoka madarakani na Lissu ashike chama ila sioni kama Lissu amejipanga vyema.
CHADEMA imepoa inahitaji mropokaji kama Lissu.tatizo hajajipanga
1. Leo tumeshuhudia mechi nyingine tafu kwa Simba, ukubwa wa Simba umeamua mechi.
2. Singida waliingiia na maneno ya nje ya uwanja kuwa marefa wako upande wa Simba, hii iliwatoa mchezoni mapema.
3. Huenda Jean Charles Ahoua ameanza kuizoea ligi, anacheza kikubwa mno ( nilikua nikiuponda...
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha...
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA.
Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako.
Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi.
Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.
Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.
Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo...
Ndugu Yericko Nyerere , naona mrija wako upo hatarini kukatwa .
Baada ya ujio wa Tundu Lissu ndo tujaua ukweli ikiwa kilimo cha Bamia kinalipa hadi mtu kujenga hekalu na maghorofa.
Kwema Wakuu!
Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi.
Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana.
Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na...
Unakuta ni mrembo kwelikweli lakini hajui kupika hata msosi wa kula yeye mwenyewe sasa mkioana sijui mtaenda kula vibandani au
Unakuta ni bonge moja la handsom lakini siku zote yeye na uplayboy ni pipa na mfuniko
Unakuta ni mpishi mzuri wa hiki chakula kinachopita mdomoni lakini kwenye...
Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja
1. Ununuzi kwa Wingi
Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo.
Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira.
Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama mazoezi na kucheza siku moja moja.
Siku moja ile timu nilokuwa napiga nayo mazoezi wakapata ki mechi...
Kwa ubakaji wa demokrasia wa kitoto tusingangae kuwekekwa vikwazo kama nchi.
Kuna wanaosema tusijali lakini ukweli ni kwamba nchi yetu inategemea sana watalii ambao wanatoa hizo nchi.
Utalii ni sehemu kubwa sana ya pato la nchi. Pili nchi yetu inategemea sana misaada hasa Afya kwa mwaka...
Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao.
1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police.
2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja.
3. Police haraka wametoa tamko...
1. Kazi yako ni kutii amri za watawala
Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini
Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba akikwambia Fulani nisamehe Bado Nina mke na watoto wadogo lakini wewe unaamua kumwaga damu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.