Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi.
Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali.
Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama...
Hata Kama una Maisha Magumu jiwekee utaratibu wa kutoa hata kidogo unachopata .
Yaani kipindi nilipokuwa bahili nilikuwa sipati pesa hata kidogo nilikuwa naishi kiujanja ujanja
Lakini hii kanuni ukipata unatoa kidogo wahitaji Basi ngumu kukosa kitu
Yaani Kama hautoi Mfumo unakuruka unaenda...
Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia.
Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo.
Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
bara
biashara
dar
elimu
elimu ya juu
imeshindwa
kazi
kilo
kubeba
kujiuza
maoni
mtoto
ngumu
sana
serikali
tanzania
tanzania bara
uchafu
ukahaba
vipi
vyuo
zanzibar
zege
Simba tuingalie mechi ya Vipers vs Horoya kazi ipo sana. Katikati ya kiwanja Horoya waliweka watu 5 na wamepata sare kwa hiyo St Mary, sio kitu rahisi kwa Simba tujiandaeee.
Saidio na Chama kucheza pamoja ni kansa kwetu, lifanyiwe kazi
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.
Pamoja na hayo yote bado hatuoni wakiwa serious kutatua changamoto zao. Wakati papa natokwa machozi wao wala...
Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha mtaji wa pesa au umaarufu wa jina wanasubiri chao, wameajiri wataalam wa kuwaendesha biashara kama...
Wakuu kwema?
Leo Timu ya Simba SC inafanya uchaguzi wake wa Mwenyekiti wa Timu kupitia wanachama na pia Nafasi ya Wajumbe watano kuingia kwenye Board.
Katika wagombea wa nafasi ya Uenyekiti kupitia Wanachamna ni pamoja na Bwana Murtaza Mangungu ambae ndie Mwenyekiti anaemaliza muda wake. Huyu...
Umesoma shule za kibabe hasa kama Kantalambo, Mazwi, Urambo, Lutengano, Ndembela, Iyunga, Tabora Boys, Majengo, Ruvu, Kibiti n.k
Unaanzaje kuwa shoga? Lazima matako yatakaza tu nakwambia. Kazi za mbilingembilinge za huko. Darasa likipiga kelele wanakuja walimu pale mlangoni wamejipanga na kila...
"Bora mtu baki kuliko ndugu"
Hii ni kauli maarufu sana nyakati hizi kwasbabu ya upendo wa wanafamilia wengi kupungua baina yao. Wanafamilia wamekuwa hawapendani na kupelekea umaskini kuzidi kushamiri. Kwanza tujue kuwa bila familia imara hakuwezi kuwa na taifa imara. Mafanikio ya taifa yanaanza...
Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake.
Kutokana na utata huo mke...
Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
Zamani kanda ya ziwa hali ya maisha ilikuwa safi sana.
Samaki na vitoeo vya kila namna ilikuwa bei chee. Leo hii debe la udaga Tsh 27000.
Inabidi kujiongeza kwa ugali na dagaa mwezi mzima.
WAZAZI WAPUMZISHENI WATOTO WENU; NGOMA BADO NGUMU. WAPENI MOYO.
Anaandika, Robert Heriel
Inawezekana wewe ni miongoni mwa Vijana mnaopitia kipindi kigumu Kutokana na shinikizo la wazazi wakikutaka Uajiriwe.
Licha ya kuwaambia upatikanaji wa kazi umekuwa ni mgumu lakini bado wazazi wamekuwa...
Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia...
Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha.
Narudi nyumbani.
Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku.....
Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache...
Rufaa ya kupinga kuachiwa huru kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi kesho Jumanne Desember 13, 2022.
Rufaa hiyo ilikatwa na Serikali ikipinga hukumu ya kuwaachia Sabaya na wenzake watano iliyotolewa Juni 10,2022.
Juni 10,2022 Sabaya na...
Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela.
Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni.
Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao.
KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake.
HAWA ni graduate ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.