Kufupisha Uzi nitatoa mfano!
Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea!
Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
Nitataja mambo kadhaa
1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care
2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
Now Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, Kila Tv na radio habari yao ni moja tu "cheza ushinde kwa buku tu" hii inafikirisha sana. Inaamana Uchumi wetu umeporomoka sana kiasi kwamba kila mwananchi anavizia mchongo wa kamali ili kutimiza malengo.
Uchumi huru kwa wananchi hasa wa hizi nchi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya.
Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
Hivi wakomunist uchwara wanafahamu Karl Marx hakutaka Mungu. Na alichoanza kupambana nacho ni dini. Ndio maana akasema dini ni KILEVI CHA UBONGO.
Ukomunist ni mifumo haitaji Mungu. Kwa hiyo mkomunist hawezi kutuambia kuwa ana dini au anaamini Mungu.
Kuna dhana ya kuwa serikali haina dini ila...
Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu inaelemewa.
Kwa upande wako ni nafasi/namba gani ni ngumu kuicheza kwenye football?
Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
Je, mnajua kama Vipers wa siku ya mwananchi ametoa sare na TP Mazembe leo?
Na mnajua kama Rivers wamemfunga bingwa wa Afrika WAC na ni mtu mwenye akili mbovu tu ndiyo atalinganisha Al Hilal na hawa Agosto wa Namungo?
Umofia kwenu.
Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya.
Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
Kwa maisha na mifumo ya kimaisha ya Afrika kupigika ni jambo la kawaida sana.
Hivi umewahi kujiuliza hawa Wazungu wanaotalii Tanzania na kuzunguka dunia kazi wabafanya saa ngapi?
Turudi kwenye mada.
Haya basi chukua kapesa kadogo ulichonacho kisha kashike na ukiamuru kiite wenzake (pesa...
Kwema Wakuu!
Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana!
Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
Hii ni taa ya tahadhari,
Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa.
Uwanja wa Taifa ni mzuri kiasi kwamba team yeyote inaweza kuutumia. Mechi ya marudiano kati ya...
Kwa uzoefu nilionao sasa ni ngumu sana kwa adui au mtu chuki, au kinyongo kuficha uadui. Mara nyingi sana mtu anaweza kuwa anakuchukia lakini anakuchekea chekea.
Yaani anajifanya kuonyesha sura ya bashasha na mwingine hufikia hata kujifanya ni rafiki yako mkubwa. Kwa upande mwingine mwanamke...
Nianze Kwa kutaja miamba iliyoondoka chadema na sifa zao na hawakutakiwa kutoka!
David silinde, huyu jamaa alikuwa jemedari wa nyanda za kusini aliishika sana Tunduma, sijajua kwanini CHADEMA waliruhusu mazingira yamuondoe!
Dr. slaa, huyu aliishika nchi kisawa sawa, watu hawakuwa wanaogopa...
Kazi ngumu na Uvivu
Katika nyumba kubwa, aliishi Kijana mvivu. Aliamka mchana, akala chakula chake kisha akalala kitandani tena. Alikuwa na kasuku aliyeitwa Polly. Alimwangalia mtu huyu mvivu na akashangazwa naye.
Siku moja, Polly alimuuliza Kijana huyo, "Huchoki kulala kitandani mchana kutwa...
Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena.
Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
Nimepitia mitandaoni. Pamoja na talent yake mchezaji kinda wa Man utd ana Hali mby Sana.
Makampuni yanajitoa na kuapia kutojihusisha na mwingereza huyo mshambuliaji wa united.
Kwa hali hiyo Ulaya kula kinyama hicho ikiwa hujaoa ni ngumu sana. Na hata kama umeoa mkuu uache yeye(mchuchu)atake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.