Ile miaka yetu wahenga mama zetu wengi walikuwa wake na mama wa nyumbani. Wengi walifika kuanzia darasa la nane na kuendelea. Enzi za elimu ya mkoloni cookery na needle work yalikuwa masomo compulsory kwa mtoto wa kike.
Mishahara ya wazazi haikuwa mikubwa sana lakini wengi tulibahatika kuishi...
Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu.
Kwa miezi kadhaa kabla ya machi 2022, pesa ilikuwa na thamani japo ilikuwa si rahisi sana kuipata kutokana na mirija mingi ya rushwa na ufisadi kufungwa. Leo hii pesa haina thamani. Tsh elfu 10 ni kama sh elfu 1.
Bidhaa bei ghali. Tozo kila mahali...
Simba ni kubwa mno kuwa na CEO kama Barbara.
Kwa waislamu ni dhambi kusema uongo makusudi, Ahmed Ally kijana wa watu anapitia kipindi kigumu sana kinachomfanya aharibu dini yake. Analazimika kusema uongo kwa kujua au kutokujua ili tu kuifunika Simba isikae uchi. Atafanya hivyo hadi lini?
Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2...
China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina....
Na pia inapata tabu kutumia hela ya India
==================
June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume.
Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo...
Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika.
ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri)
Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
Vijana tunaozaliwa wakwanza Huwa na Kama baba ukimwacha baba halisi.
Nikaamua kwenda kuzisaka pesa kwa ajili ya kuwatunza wazee wangu na Mimi binafsi.
Hapo ndipo nilipoona hela Ni ngumu mno kuishika. Nimefanya kazi ngumu ngumu za kuchosha sana mwili Ila ujira huna cha kuhifadhi ugonjwa...
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye.
Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
Salamu nyingi ziwafikie popote mlipo.....
Niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha mada kinavyojieleza, kwanza ijulikane maisha tunayoishi hatuishi kwa ajili yetu, yaani maisha yako ili yaende yanategemea watu wengine hakuna anayeweza kuishi kwa kujitegemea mwenyewe, vivyo hivyo hata...
Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022.
Chelsea walianza kupata bao kupitia kwa Marcos Alonso katika dakika ya 60 lakini United walisawazisha dakika...
Tarehe 30/04/2022 Jumamosi Kariakoo Derby Yanga Vs Simba baada ya DK 90 Kuna watu watalia na kusaga meno, mikeka itachanika, ndoa zitaingia Kizungumkuti na hata like tendo siku hii huenda baadhi litapoteza ladha, wengine watafilisika na mwisho kwa bahati mbaya wengine wanaweza kupoteza uhai kwa...
Tokea ipate uhuru Pakistan hakuna waziri mkuu aliyedumu kwa mda wa miaka 5, wengi wao ni miaka 4, 3 au siku kadhaa tu, hii inatokana na mfumo wao wa bunge ambao Mara nyingi unamuwih vigumu kwa mgombea kuwa na majority bungeni, hii inalazimisha kuunda serekali ya mseto ikitokea pande moja uhalali...
Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo!
Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi zinapojitokeza na badala yake inamuweka kwenye kundi la watu ambao huzikimbia changamoto hizo bila...
Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana
Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏
On my point
Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs
Wazo langu Ni kwamba...
Kwa taifa letu Karantini lingewezekana?
Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani?
Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana...
Huyu mtu ana akili nyingi sana na ni mzalendo wa dhati mwenye maono mazito juu ya nchi yake. Ni nadra sana kuwa na watu wa aina hii. Tatizo letu watanzania ni kushindwa kuwatumia vizuri watu wa aina hii kwa maendeleo ya taifa letu.
Tangia awe mbunge zaidi ya miaka 10 mfululizo, michango yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.