Ilikuwa mwaka 2022 nilienda kigoma kutembea kidogo.
Kigoma maeneo ya manyovu huko, baada ya kama wiki hivi nikawa nishazoeana na wadau hasa wapenda mpira.
Nilikuwa naenda mara Kwa mara kutizama mazoezi na kucheza siku moja moja.
Siku moja ile timu nilokuwa napiga nayo mazoezi wakapata ki mechi...