Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa.
Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida.
Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
Uganga na uchawi upo tangia enzi, tunaweza kuona katika maandiko ni jinsi gani waganga wa farao walivyoweza badilisha fimbo zikawa nyoka.
Kwa kila maombi na hitaji la kiroho huwa panaambatanishwa na sadaka itokayo kwa yule anae ombwa.
Sasa Mganga hawezi kukueleza kila kitu, kwa maana mafanikio...
Bwana wetu Yesu kristo asifiwe wana Jf
Katika maisha yetu hapa duniani kuna wakati tunapitia nyakati zilizo na mambo magumu sana, kiasi kwamba kwa uwezo wetu unakosa majibu na kubaki kujiuliza maswali magumu yasiyo na majibu.
Nyakati kama za Kufukuzwa kazi, Ugumu wa maisha, kupoteza wapendwa...
Note
Unahaki ya kumnyima mtu msaada sio dhambi au kosa ila usidhalilishe utu wake kama hauna nia au hutaki kumsaidia
Upendo wa kweli unapimwa kwa watu usiowajua unawatreat vip usiowajua wanapohitaji msaada wako na sio unaowajua
Kuna mwaka nilipitia msoto mkali nilikua mitaa ya ITV nikasema...
Nilikuwa na aangalia taarifa ya habari sasa kuna mwanamama akasema akipata pesa atawasomeshea watoto wake.
Sasa hapo nikawaza kama watoto wana baba yao na ni kichwa cha familia, kwanini mama ammbebe mimba na amzalie watoto na bado majukumu ya familia afanye yeye wewe kama baba haki yako iko...
Habari za asubuhi ndugu zanguni,
Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private.
Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
Kauli za ney wa mitego ni ngumu kuliko za sifa. Sifa boniventure anaonewa. Aachiwe haraka.
Hivi hiki kiwimbo Cha sifa kina maneno mazito Kama nyimbo ya amkeni ya ney? Kama sio why ney yupo nje na sifa yupo ndani?
Tuachane na Hilo, twende kwa Lissu, Hivi kwa maneno ya lisu ukiyalinganisha na...
Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo.
Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu.
Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo
na...
Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao.
Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa.
Hali ni ngumu sana.
Walevi wa pombe kali wanajifariji
Salaam ndugu zangu,
Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa:
Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari.
Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka...
I
SERIKALI ISIKUBALI MTAFARUKU WA BANDARI KUCHUKUA MKONDO WA KIDINI, NI NGUMU KUIDHIBITI.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Haya mambo yanayoendelea ndani ya nchi Kwa kweli hayavutii na kuna Wakati yanatia wasiwasi. Serikali inahitaji kutiiwa lakini nayo inaowajibu wa kusikiliza kile...
Natumaini wote tumewahi kusikia au hata kuona mtu akiwa na tatoo kwenye sehemu fulani ya mwili wake.
Je, kwani tatoo ni ngumu sana kufutika??
Kwanza kabisa ni muhimu kujua kua tabaka la juu kabisa kwenye ngozi(epidermis) ndilo tunaloliana kila siku kwa macho na huwa na kawaidi ya kutoa seli...
Kilimo kina madoni
Uchimbaji madini una madoni
Vitenge kuna madoni
Car wash zina madoni
Bar zina madoni,
samaki zina madoni
restaurant zina madoni
hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache...
Hili jambo nimelifuatilia muda mrefu sana hapa barani africa esp. Tanzania wazazi wanaenjoy tu pale ambapo mama akipata toto la kiume jamii inakuchukulia mtu wa thamani sana yaani hongera unapata nyingi lakini kadri toto hilo la kiume linavyozidi kuwa kubwa ndivyo linavyoanza kuwa jitu la hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.