nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. Dam55

    BBC Swahili: Tanzania yapiga marufuku biashara ya Nguruwe! Huu ndio weledi wa habari wa BBC au Kuna kitu wanalenga?

    Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi? Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo. Hii itatufanya hata...
  2. Miss Zomboko

    Serikali yapiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe Kahama kwa muda usiojulikana

    Kufuatia kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Serikali imelazimika kupiga marufuku uuzaji, usafirishaji na ulaji wa nyama ya nguruwe kwa muda usiojulikana baada ya kuripotiwa ugonjwa huo kusambaa kwa kasi na kusababisha vifo vya wanyama hao zaidi ya...
  3. Amoeba

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    - Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100, mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe mkubwa ni Tsh 200,000 tu...
  4. Degelingi_One

    Ufugaji wa Nguruwe

    Wakuu salaam. Kutokana na hali ilivyo ngumu huku mtaani, kijana nimejipiga na kupambana nikakusanya kiasi cha 300k. Nataka nijitupe kwenye ujasiliamali wa ufugaji wa nguruwe. Wataalamu wa haya mambo nipeni uzoefu hasa: 1. Mabanda ya kufugia 2. Muda sahihi wa kuuza 3. Ulishaji, Mara moja au...
  5. Pastory Kimaryo

    Chakula kipi ni kizuri kwa kufanya watoto wa nguruwe wakue na wawe na afya?

    Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu. Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
  6. sky soldier

    Toka Maandikoni: Uchambuzi yakinifu utakaokufanya rasmi kuacha kula nguruwe

    Nilikulia katika familia ambayo sungura alikuwa ni kitoweo karibia wa kila siku, kupiga mlo bila kitoweo ilikuwa ngumu sana maana hawa sungura walikuwa wengi tu porini na waliwindwa kirahisi kwa kutumia mbwa. Bila kusahau kulikuwa na nyama tuliyoipa heshima sana, nyama hii ilikuwa ni ya Nguruwe...
  7. Nsumba ntale tz

    Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo. Eneo lisiwe nje sana ya mjini Tafadhari tuwasiliane PM Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
  8. Yoyo Zhou

    Virusi vya Corona viwe somo kwa aina mpya ya virusi vya homa ya mafua ya nguruwe viliyogunduliwa China

    Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine, mana kama si ndugu yako kuugua ugonjwa huu basi ni rafiki au jirani yako. Lakini nchi na mtu mmoja...
  9. beth

    Virusi vipya ambavyo vinaweza kusababisha mlipuko duniani vyagunduliwa China

    Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa. Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu...
  10. Abdallahking

    Mkuki Kwa Nguruwe (Kisa Cha Kweli)

    Mkasa : MKUKI KWA NGURUWE Mwandishi: MSUYA M MSUYA (EMUTHREE) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ni kisa na mkasa, chenye mafunzo ndani yake, kinachotokana na ushauri wa kirafiki kati ya marafiki wawili. Ushauri uliokuja kuzaa mtafaruku hadi marafiki hawa wawili wakaja kuwa maadui...
  11. Agenda1

    Nahitaji kijana wa kuhudumia shamba la Nguruwe Dodoma

    Shamba liko nje kidogo ya Dodoma, ndio limeanzishwa. Malipo tutazungumza. Piga 0789464641. Wadau pia naomba tujuzane kama unamfahamu kijana mwaminifu na mwenye uhitaji.
  12. Ronee

    Nahitaji piglets (watoto wa Nguruwe) kwa ajili ya ufugaji

    Wakuu mada tajwa hapo yahusika, Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa 0689464641tufanye biashara.
  13. Tipperhendrix

    Ninafuga, Ninachinja na Kuuza Nguruwe

    Habari. Nauza Nguruwe. Madume yaliyo hasiwa Yapo. Madume ya Mbegu Yapo. Na Majike ya Mbegu Yapo. Ukihitaji Nyama. Kilo 1 ni Tshs 8,000/= Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe. Piga simu au tuma Message kupitia namba +255738141339 au +255714313711 Kama upo WhatsApp, tumia namba hii...
Back
Top Bottom