Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
Hapo vip!!
Leo siku ya mwaka mpya, nikaona nimalizie siku pale kwa murombo kwa lengo la kupata nyama ya kuchomaa, nilipo ingia pale nilikuta pako busy sana ila nilipo waangalia watu wengi waliopo pale ni watu wa class ya kawaida sana ila wengi wanakunywa pombe sana.
Anyway nikaona sio hiyana...
Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
Habari wanajamvi
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana maeneo ya Ntyuka Dodoma. Nauza dume kubwa kabisa kwa mahitaji ya kufuga au Kuchinja
Umri: mwaka mmoja
Aina: largewhite *landrace
Mawasiliano: 0672493720/ 0717201982
Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi?
Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu.
Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi?
Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani?
Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana?
Kuna mawili.
1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye...
Wakuu hii threads haihusiani na masuala ya imani za kidini, ni katika kujiuliza tu; ni kwanini Wanyama hususani jamii ya nyani ambao ndio tunashabihiana nao sana, hawatumiwi sana katika tafiti za tiba kwa ajili ya kupata viungo vya kupandikizwa watu wenye mahitaji ya viungo kama; figo, moyo...
Huu hapa ufafanuzi
Dunia hii imepita Kwenye vipindi tofautitofauti na ni Mungu ndiyo anaongoza hivi vipindi.
Kipindi Cha kwanza: Mungu anatoa Sheria ya wanadamu kula matunda tu. Hili tunaliona Kwa Adam na Hawa
Kipindi Cha pili. Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyakula vyote isipokuwa...
Kutokana na matumizi yasiyofaa ya dawa jamii ya ANTIBIOTICS kwa nguruwe, sasa nguruwe wamekuna GENES ambazo zinamfaya nguruwe asiweze kutibiwa kwa dawa za jamii hiii pale anapopata magngwa yanayohitaji kutibiwa kwa dawa za jamii hii. hatari hii huedna itapasishswa kwa binadamu hasa wale...
Habar natumaini mu wazima
Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke
Kiumri ana miezi 8.
Naomba kujua hiki kinaashiria nini?
NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia.
Tiririka nayo.
Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe
Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo.
Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya...
Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu.
Natanguliza shukrani!
Habari za hapa wanajamii forum!!
Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi...
Kwa waliowahi kufuga nguruwe na ngombe kipi kinalipa?
Kwa mazingira niliyokuwepo ngombe ni biashara sana, yaani maziwa sipati hela ya maendeleo, lita tsh 700 kwa maeneo niliyokuwepo na kupata breed yenye maziwa mengi imekuwa mtihani.
Nakubali ngombe analipa sababu napata samadi ambayo naitumia...
Mwezi January iliyokea mafanikio makubwa ya kimatibabu baada ya madaktari wa Marekani kufanikiwa kupandikiza moyo wa nguruwe ulioboreshwa (Genetically modified heart) kwa binadamu na kuleta matumaini makubwa kwa mahitaji ya kiungo hicho muhimu.
Miezi 2 baadae, yaani leo, binadamu wa kwanza...
Habarini za mwaka mpya wana Jf!
Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
Tafadhali naomba nisaidiwe kwa yoyote mwenye kufahamu,
Kuhusu chakula sio tatizo ninakitabu kinaniongoza namna nzuri ya uchanganyaji chakula cha nguruwe.
Natunguliza shukurani,
Thnx.
Sijajua kama hapa Tanzania itakubalika labda Moshi.
--
Moyo wa nguruwe wapandikizwa kwa binadamu nchini Marekani
Katika picha hii iliyotolewa na Chuo cha kikuu cha Tiba cha Maryland, timu ya upasuaji inaonyesha moyo wa nguruwe tayari kupandikizwa kwenye mgonjwa
Kwa mara ya kwanza duniani...
Nyama ya nguruwe, ambayo inajulikana zaidi kama “kiti motó” inaliwa na kupendwa na watu wengi, lakini wanaweza kuwa hawajawahi kujiuliza machinjio ya wanyama hao yako wapi.
Si machinjio tu, nguruwe hawaonekani kwenye minada ya kawaida ya mifugo. Huuzwa wapi?
Kwa watu wanaoishi nje ya miji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.