nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. Pdidy

    Tajiri wa Simba haidi tena nguruwe octb 19 kila goli umekuwa kimya sana na simba yetu

    Huyu mmh anaipenda sana simba Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
  2. Pdidy

    KIpa wa Simba Camara apokea hela kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe

    Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi kumpatia hela kadhaa Hakuishia hapoo akasema kwa wasiomjua yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa Nguruwe...
  3. M

    INAUZWA Virubisho hivi vya nguruwe aina ya max pig vimekuwa msaada kwa wafugaji Tanzania

    Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus...
  4. Kaka yake shetani

    Tuseme ukweli Nguruwe ni mbadala wa ng'ombe

    Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mifugo mingi husasani nguruwe ila kutokana na wingi ng'ombe uonekana mboga kubwa kwa maitaji ya kila siku na wanyama wengine. Kuna nchi ambazo ng'ombe ni wachache ukilinganisha mbuzi, kuku, samaki na nguruwe. Tuje nchini China, Korea, Taiwan, Cambodia, Vietnam...
  5. Kaka yake shetani

    JATU, Mr. Kuku, Vanira na sasa Kijiji cha Nguruwe

    Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi. Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida. Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
  6. Mhaya

    Kauli hizi za bodi ya nyama ni viashiria vya kutaka kuua biashara ya Mr. Manguruwe

    Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
  7. Kaka yake shetani

    Aliyewekewa figo ya nguruwe afariki baada kuishi nayo miezi miwili

    Bwana Rick Slayman amefariki dunia baada ya kupandikiziwa figo ya nguruwe aliyokaa nayo miezi miwili. ===== Slayman had also been living with Type 2 diabetes and hypertension for many years. Updated: May 12, 2024 09:36 AM EST Richard “Rick” Slayman, the first person who received a...
  8. Lomaa lolusa

    Mbegu bora ya nguruwe

    Nahitaji mbegu bora ya nguruwe morogoro
  9. R

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo, Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama...
  10. sanalii

    Je, hapa sijalishwa Nguruwe kweli

    Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie. Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil, chaajabu nyama inachurusika mafuta hatari. Je huyu ni mbuzi kweli?
  11. MEK_TZ

    Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  12. K

    Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!! --- Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
  13. R

    Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

    Kuna kipindi Senzo akiwa mtendaji mkuu wa yanga alikwenda kuipokea timu kutoka south Africa ilikuja kucheza na Simba kwenye mashindano ya klabu ya klabu bingwa Afrika. Kitendo cha Senzo kukutana na timu ya south Africa kabla ya mechi ya Simba kilichukuliwa kwa hisia tofauti, wakati washabiki wa...
  14. X

    Natafuta Mabanda ya Ufugaji Nguruwe Ya Kukodisha Dar es Salaam na Vitongoji Vyake

    Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
  15. M

    Je, inaruhusiwa kuwekeza kwenye biashara ya kufuga nguruwe?

    Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam. Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini. Sasa...
  16. BUSH BIN LADEN

    Neno "kimoja cha nguruwe" lafanya kipindi cha Kipenga Extra East Africa Tv kifutwe mchana huu

    Wakuu habari za mchana? Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United. Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi...
  17. U

    Ufugaji wa kuku saso na ufugaji wa nguruwe

    wadau niko kwenu hapa najaribu kufikiri kuanza UFUGAJI Sasa nawaza kuhusu UFUGAJI WA NGURUWE au kuku SASO naombeni ushauri wenu nataka kutengeneza pesa za ada mwakani. NIKO MKOANI NA MTAJI WANGU NI LAKI TANO
  18. sky soldier

    Aibu kuona Wasabato wanaokataa nguruwe na pombe wamelegeza msimamo kuhusu kuchonga nywele/ndevu, kuvaa hereni na kusuka

    Ni moja ya kanisa linaloendelea kufuata sheria za agano la kale ikiwemo kuheshimu sheria zilizowekwa na Mungu kuhusu uchambuzi wake wanyama wa kula pamoja na kuendelea kuamini Pombe ni chukizo kwa Mungu, Siku yao ya kuabudu huanza ijumaa jioni hadi jumamosi kama ilivyo kwa wayahudi wanaoabudu...
  19. LA7

    Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?

    Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
  20. hermanthegreat

    Hivi wakristo wanaokula nguruwe wanaruhusiwa kuwachangia damu waislamu

    Nilikuwa nawaza tu hapa,
Back
Top Bottom