nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. MK254

    Mapropaganda wa Urusi wakutana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao

    Watu kadhaa ambao hutumiwa na Urusi kueneza propaganda wakiwemo wanahabari wakumbana na vichwa vya nguruwe kwenye milango yao, sijaelewa kwanini itumike kichwa cha nguruwe maana hawa sio wafuasi wa ile dini ya mwarabu ambayo huogopa sana nguruwe......... Hawa mapropaganda ni hatari sana, kuna...
  2. MK254

    Afungwa miaka miwili kwa kutamka "Bismilallahi" huku akila nyama ya nguruwe

    Staa wa TikTok kutoka nchini Indonesia, Lina Mukherjee amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kutokana na video aliyo-post inayomuonesha akisema neno linalotumiwa na Waislamu la ‘Bismillah’ kabla ya kula nyama ya nguruwe, jambo ambalo limelaaniwa vikali nchini humo. Neno hilo hutumiwa na...
  3. BARD AI

    Uganda: Bunge lashangazwa na Ripoti kuwa Wafugaji wanatumia ARV kukuza na kunenepesha Kuku na Nguruwe

    Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote. Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
  4. Nyuki Mdogo

    Figo ya nguruwe yaonesha ufanisi katika mwili wa Binadamu

    Figo ya nguruwe ambayo ilipandikizwa katika mwili wa Binadamu kwa zaidi ya mwezi mmoja, imefanya kazi kwa ufanisi ikiwa ni hatua ambayo Madaktari wa upasuaji wana matumaini makubwa kwamba siku moja wataweza kutumia aina hii ya upasuaji kuokoa maisha ya Binadamu ambao ni Wagonjwa. Upasuaji huo...
  5. Mapunu jr

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki
  6. R

    Wapi nitapata nguruwe wa nyama kwa Dar?

    Habari ndugu zangu Nataka kuanza biashara ya kuchinja nyama ya nguruwe na kuuza kwa bei ya jumla nyama mbichi Wapi nitapata nguruwe kwa Dar au Pwani?
  7. M

    Sumbawanga: Mtoto auawa kwa kuliwa na nguruwe

    #HABARI Mtoto aitwaye Haruna Mwanakatwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi (10) mwenye ulemavu wa viungo na mkazi wa mtaa wa Edeni B Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kuliwa na Nguruwe nyumbani kwao. Tukio hilo limetokea jana Juni 25, 2023, baada ya mtoto huyo kubaki ndani...
  8. K

    Nguruwe wadogo wanauzwa, Arusha

    Wakuu habari? Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo. Idadi: 10 Umri: Miezi miwili na nusu. Bei: @120,000/= (Maongezi yapo) Eneo: Arusha, Themi Hill. Karibuni wakuu! UPDATES: Done deal..! Shukrani kwa ushirikiano wenu.
  9. M

    Kitabibu nguruwe ni salama au ndo walage tu watajijua wenyewe?

    Utafiti unasema Ulaji wa vipande vitatu vidogo vya nyama ya nguruwe kila siku badala ya kula mara moja tu unaweza kusababisha kuongezeka kwa hatari ya saratani ya utumbo kwa asilimia 20% Pia SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE Wanasema: Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo...
  10. M

    Nani kasema Nguruwe halali? Sio Ukristo au Uislamu kote wamemkana.

    Katika dini ya Ukristo, maandiko matakatifu ya Biblia yanapinga ulaji wa nguruwe kwa sababu inachukuliwa kuwa ni mnyama najisi. Hii inapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:7-8 ambapo inasema " Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. .Hamtakula...
  11. Dr. Wansegamila

    Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  12. Kitimoto

    Tanzania Yaingiza Tani 52,000 ya Nyama ya Nguruwe (Kitimoto) Kutoka Nje

    Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee. Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
  13. Notorious thug

    Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M)...
  14. P-35

    Malengo 2024:mradi wa ufugaji nguruwe na mbuzi wa nyama

    Habari wapambanaji? Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience pia ushauri,nina ekari mbili nataka 1½ nilime mahindi,alizeti na maboga at least gharama za ulishaji...
  15. NetMaster

    Wakristo Kwanini tunakula viumbe vyote ambavyo Mungu aliruhusu lakini tunachagua na kubagua vilivyokatazwa akiwemo Nguruwe?

    Huwa nashangaa sana ni vipi kila kiumbe ambacho Mungu alituruhusu kula huwa kinalika bila tatizo na ni salama kwetu lakini linapokuja suala la viumbe ambavyo alivikataza huwa kuna ubaguzi, mfano viumbe kama nzi, nyau, punda, mjusi na panya watu wanabagua lakini kwa wakati huo huo wanakula...
  16. McCollum

    Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  17. I am Groot

    Njombe marufuku kula nyama ya nguruwe.

    Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo. Taarifa iliyotolewa na...
  18. M

    Chaka la simba halilali nguruwe

    Kuna hofu kubwa imetanda juu ya mwelekeo wa uongozi wa Mama Samia kulingana na matukio mengi yanayojitokeza kila siku iwe ya Ukiukaji wa maadili, uvunjaji sheria, haki na Usalama wa Wananchi upo mashakani. Kuna hofu kubwa imetanda mioyoni mwa watu kama ugonjwa ya Uviko maana hawajui hata...
  19. Iziwari

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  20. Kaka yake shetani

    Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

    Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa. Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana...
Back
Top Bottom