nguvu ya ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Udi wa Hassan gud na chumvi vina nguvu ya ajabu sana

    Aiseee , mweny uelewa aniambie, Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutokewa na nguvu ya ajabu ambayo mpaka leo hujawahi kuielewa na wala huwezi kuielezea vizuri?

    Miaka mingi iliyopita nilikua naishi mbali na nyumbani sababu ya masomo, ghafla nikawa kila nikilala namuota kaka yangu na nikiwa kwenye ukimya nasikia sauti yake. 

 Siku moja, nimeamka tu asubuhi nikapata msukumo wa ajabu niende nyumbani. Nikakata tiketi ya kurudi home bila kuwaambia wazazi...
Back
Top Bottom