Udi wa Hassan gud na chumvi vina nguvu ya ajabu sana

BIOTOXINS

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2026
Posts
1,091
Reaction score
2,283
Aiseee , mweny uelewa aniambie,

Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida
 
Udi? Hao wauzaji sasa! Unamwona kabisa huyu ni mchawi; loh!
 
Aiseee , mweny uelewa aniambie,

Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida

Kaka nishajua unachotaka kufanya😁

We sema ndio muuzaji wa hayo maudi sasa ufanya gia kidazaini😁
Hapana Siuzi
 
Back
Top Bottom