Aiseee , mweny uelewa aniambie,
Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan najisikia raha mno kichwa kipo safi na nafsi imetulia ..je mweny point zaid aniongezee madhara na faida