nguvu

  1. Hotel inayoruka angani kwakutumia nguvu ya nyuklia yaja

    Hoteli kubwa ya angani itakayoendeshwa kwa nguvu ya nyuklia yaja, pamoja na huduma zingine, inatajwa kuwa hotel hiyo itakuwa na gym pamoja na bwawa ya kuogelea, hotel hiyo itakuwa na uwezo wa kubeba abiria 5,000 kwa wakati mmoja na itaweza kuwa angani kwa muda wa miezi kadhaa na itaweza...
  2. L

    Vijana wa Afrika ni nguvu kuu katika maendeleo ya bara hilo

    Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara hilo ni makazi ya idadi kubwa ya vijana duniani, likiwa na zaidi ya watu milioni 400 wenye umri wa...
  3. Kwa Nini nguvu za kiume wanaziita "Umeme"makanisani

    Umewahi kujiulixa hili Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze nguvu za ....kama una shida hioo kimbilia fasta MBELE ukaombeweee Badoo nawaza Hivi ilikuwaje...
  4. Tunatumia nguvu nyingi kumtafuta mungu ambazo hata hazihitajiki

    Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu? Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza? Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran...
  5. Nguvu ya kiroho ya maji ya kisima kisichokauka

    Habari wakuu Naamini wengi mnavijua visima ambavyo miaka mingi havikaukiwi maji . Maji hayo yana nguvu kiroho endapo yatatumiwa ipasavyo, Kiimani inaaminika maji haya mtu akiyaoga kwa kunuia au kumwaga eneo la kazi, basi jambo lake halitakauka kama maji hayo yasivyokauka ktk kisima hicho...
  6. Tatizo la gari kuishiwa nguvu kwenye milima

    Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko hata wakawaida,lakini pia nikiweka gia ya nyuma bado inakuwq nzito kuchanganya shida inaweza kuwa...
  7. Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imafanikiwa kutoa huduma ya kuwawekea vipandikizi maalumu kwenye uume (Penile Implantation) kwa wanaume watano ambao walikuwa na changamoto za upungufu wa nguvu za kiume. Hayo yamebainishwa leo Jumanne Machi 04, 2025 Jijini Dodoma na Mkurugenzi Mtendaji wa...
  8. Pre GE2025 Chadema chini ya Lissu tumieni nguvu hiyo kukiimalisha CHAMA kuliko kutumia kuzuia uchaguzi.

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
  9. Watano waongezewa nguvu za kiume Hospitali ya Benjamini Mkapa

    Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) imesema kati ya asilimia 40 hadi 50 ya wanaume wanakabiliwa na tatizo la nguvu za kiume, huku wengi wakifika hospitalini hapo kutafuta huduma ya upandikizaji wa uume. Mkurugenzi Mkuu wa BMH, Prof. Mabere Makubi, akizungumza leo Machi 4, 2025 jijini Dodoma...
  10. Nguvu ya maji ya chemchem kwa afya yako

    Habari, Fahamu nguvu iliyopo juu ya maji ya chemichemi yakunufaishe. https://youtu.be/O4fUTm3_7NQ?si=HWHHkFS5RoWGowEo
  11. Pre GE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  12. Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  13. Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  14. Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  15. Uchina Wameunda Kamera Yenye Nguvu Zaidi Duniani, Ikinasa Taswira kutoka Anga za Juu

    Unaweza kusema headline iwe "Ni Uchina Tena" Kamera za Ufukunyuzi Zenye Nguvu Zaidi Duniani zimetengenezwa na Wanasayansi wa China nchi hiyo ikiweka Viwango Vipya vya Upelelezi na Ufuatiliaji wa Kimataifa visivyomithirika. Kamera hizi mpya zina uwezo wa kushinda viwango vya kimataifa vya...
  16. P

    Mungu awatie Nguvu Jumapili ya leo

    Katika Jina la Yesu na wote tuseme, Amen.
  17. A

    NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  18. Nimeamini upendo wa baba una nguvu ya ajabu, nimekuwa nikionyeshwa chuki ya ajabu sana kwa sababu nina wapenda watoto wangu

    Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili. Kwa sababu ambacho kilikuwa...
  19. Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

    Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua...
  20. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra. Tuwe serious kutoa msaada. Ufafanuzi wa jumla wa tatizo la nguvu za kiume na tiba yake Kuishiwa nguvu za kiume ni jambo la kawaida kwa wanaume wengi. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…