nguvu

  1. J

    Ni kweli Karume, Salmin Amour na Wanamapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa Kiarabu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja. Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa kiarabu, na kihindi baada ya mapinduzi ya Zanzibar? Inasemekana kuwa mke wa...
  2. Huyu Pasta Dominiki 'Nabii Kiboko ya Wachawi' ni nani? Nguvu yake ni ya Kweli? Siyo Msanii kama wa Kawe na Kimara Temboni?

    Kwa Nyomi Kubwa alilonalo sasa na Nyota yake inavyoanza Kungaa huku Akipendwa na Kukubalika zaidi kwakuwa huwa Habahatishi kwa Kukutajia Mbaya wako (hata kama ni Mzazi au Nduguyo) huku Akiwaumbua na Kukutajia Wachawi wako na akikuombea na kufanikiwa hawa wa Kawe na Kimara Temboni wasipomkalia...
  3. Mitandao ina nguvu; hatimaye Azam TV wamekuwa waungwana kwenye Krismasi ya mwaka huu 2023

    Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini.. Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
  4. Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  5. USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  6. Je kuna ukweli kwamba ukiweza kuiongoza subconscious mind unaweza kupingana dhidi ya nguvu za giza?

    salaam leo katika harakati zangu za kujiongezea maarifa nimeshika kitabu kimoja cha jamaa anaitwa Murphy Joseph jina la kitabu power of subconscious mind ndani ya kitabu ameeleza mambo mengi ya kuihusu subconscious mind na kufanya comparison conscious mind. Kuna mifano mingi jinsi ya...
  7. Orodha yangu ya watu walioupiga mwingi 2023

    Mwaka ndo huu una ishia, japo zime baki siku chache ila hakuna mwenye uhakika kwa asilimia 100 ata toboa 2024. 👉Sina mpango wa kukutisha, ila ni hulka yangu kuanza kwa mikogo na kumaliza kwa kicheko. Mwaka huu Ume kuwa wa kiutofauti Sana katika maisha yangu katika nyanja mbalimbali kuwa...
  8. Bashungwa Awapa Nguvu Wawekezaji wa Viwanda Karagwe

    BASHUNGWA AWAPA NGUVU WAWEKEZAJI WA VIWANDA KARAGWE. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amewahakikishia Wawekezaji wa Viwanda katika Wilaya Karagwe mkoani Kagera kuwa Serikali itaendelea kuwaunga mkono kwa kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa Wawekezaji hao...
  9. Bunge la Ulaya lapiga kura ya kutowaondoa wamaasai Ngorongoro

    Tangu mwaka 2022 serikali ya Tanzania imekuwa ikijaribu kuwahamisha kwa nguvu Wamasai wapatao 150,000 kutoka wilaya ya Ngorongoro, ikidai kwamba ongezeko lao linawaweka katika ushindani na wanyama pori; huku Wamasai wakidai kwamba kuwahamisha kunalenga kutoa nafasi kwa watalii, wanyama pori, na...
  10. Nguvu za kumfanya mtoto wako awe mtu bora zipo kwako

    Wazazi daima tuna jukumu kubwa sana la kusisitiza maadili kwa kubwa kwa watoto wao hawa katika kipindi wanapokua na kuchunguza ulimwengu unaowazunguka, lakini lengo la msingi linaweza kuwa sio hilo bali ni kuwatengenezea msingi mzuri wa Maisha hapo mbeleni hata tukiwa hatupo karibu yao. Ingawa...
  11. B

    TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  12. R

    Nguvu ya soda: Mzee Kinana agizo lako kuhusu utitiri wa trafiki polisi barabarani liliishia wapi?

    Ulipongexzwa na watumiaji wa barabara hasa wa magari kupunguza vizuizi vya traffic police barabarani kwa vile ilikuwa ni kero na fursa za rushwa kila kituo walipo traffic. That was a good move. Ulisema wawepo lakini si kila baada ya mita chache kama ilivyokuwa na ilivyo sasa. Mzee zuio hilo...
  13. Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  14. Enyi Manabii wa kizazi kipya ni kweli mmepewa nguvu na Mwenyezi Mungu, au ni ushirikina tu?

    Nyinyi manabii mnao vaa visuluali vimebana, manabii mmesuka rasta, manabii mnawapiga mateke wagonjwa, manabii mnawalisha majani waumini, manabii mnawanywesha mafuta ya taa waumini, manabii mnataka sadaka kuazia elfu Tsh 30,000 na kuendelea, je ni kweli hizo nguvu/mamlaka mmepewa na Mwenyezi...
  15. B

    Nguvu za giza na mizimu ya ukoo

    Habari wana JF, mimi ni new member ningependa mnikaribishe katika Jukwaa letu. Mimi Ni kijana wa miaka 30’s, kwa mda wa miaka 3 nimekua nikisumbuliwa na Nguvu za giza na Mizimu ya ukoo ambayo imepelekea kuharibu dira ya maisha yangu, nilianza na kuumwa homa za ajabu ajabu, mwili kuchoka...
  16. Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao...
  17. Nguvu tunayotumia "kushadadia" Vita visivyotuhusu tungeitumia kukemea maasi kwenye Taifa letu

    Salam, Nimekua najiuliza mara nyingi sana kuwa hizi nguvu zinazotumika kushabikia vita au maasi kwenye nchi ambazo wala hazituhusu, si tungezitumia hapa kwetu kukemea maovu? Mfano ni haya yafuatayo 1. Ndani ya kipindi kisichozidi siku 10 yaani kati ya November 25 - December 2 Polisi...
  18. Wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wana nguvu sana (Video ipo chini)

    Jalisco New Generation Cartel au CJNG, ambayo zamani ilijulikana kama Los Mata Zetas, ni muungano wa uhalifu uliopangwa wa Mexico wenye makao yake makuu mjini Jalisco ambao unaongozwa na Nemesio Oseguera Cervantes, mmoja wa wafanyabiashara wanaotafutwa zaidi duniani...
  19. Kuna wanawake wana nguvu sana; Marilyn Monroe aliwezaje kuwachanganya JFK & RFK mtu na kaka yake kwa wakati mmoja

    Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua. Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
  20. Kuna haja serikali ikaanza utambuzi wa shughuli za watu mijini na vijijini wasio na kazi waende wakalime kwa lazima

    Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…