Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices.
Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game.
Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji!
Sijajua nini hasa jamaa alichokuwa analalamika hapa, ila jambo la kujifunza kupitia clip hii ni kwamba, usipoteze sana muda wako kumfokea mtu aliyekuzidi kwenye jambo fulani ikiwa hajaonesha dalili ya kukusikiliza.
USITAFUTE UMÀARUFU KWA NGUVU UTAJIDHALILISHA NA KUISHIA KUJICHUKIA.
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Watu wengi hupenda kujulikana, na wengi huhusisha kujulikana kama moja ya nguzo za kuheshimiwa. Kuna ukweli katika hilo lakini itategemea unajulikana kwa jambo gani. Nini kinachopelekea wewe...
Kwa muktadha wa mabadiliko ya hali ya hewa nakubaliana na wadau wanaosema TANESCO ndiyo taasisi yenye nguvu za giza kuliko taasisi nyingine zote.
Nguvu za giza zimeondoka na mawaziri wengi, wakurugenzi na makatibu wakuu. Zinaendelea kuondoka na wengi kupitia miradi chechefu.
Tunapopambana na...
Jambo,
Tunatafuta mwekezaji mwenye nia ya kuwekeza katika kampuni yetu ya teknolojia inayojihusisha na kuuza vifaa vya usalama wa elektroniki na shughuli zingine za teknolojia. Tunaamini kuwa uwekezaji wako utatusaidia kuongeza ufanisi wetu na kufikia wateja wengi zaidi.
Kuhusu kampuni yetu ni...
Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi
Chanzo changu kilicho ndani ya timu ya Al Ahyl kimeninyetishia kuwa muuaji Percy...
Hili ni andiko adimU ambalo pengine litafutwa mtandaoni maana majitu yenye akili na yanayotawala kila mifumo ya siasa na uchumi wasingependa uzijue ufanane nao.
Kwa utaratibu na sehemu ndogo nimeandika kwa ufupi sana sehemu ya andiko hili la siri ambalo linaweza kukufanya uwe jitu lenye akili...
Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu.
Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
Anonymous
Thread
jana
kigoma
kijiji
maovu
mauaji
mkoa
nguvu
rpc
tarehe
Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe!
Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana amewasilisha hoja ya kupitisha Azimio la Bunge la kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe akidai ni...
Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia, hata Mods humu hawaupendi. CCM ni chama pekee cha siasa ambacho hakiwezi kunyooshewa kidole cha udini. CUF ilikuwa na nguvu sana, lakini kila mtu aliona kupitia safu yake ya juu kilivyoegemea dini fulani. CDM kilikuwa na nguvu, na hata leo kina nguvu...
Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake alimpa upendeleo wa kipekee wa kumpunguzia majukumu mengi huku kazi yake kubwa ilikiwa ni kulala na...
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno
Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu!
Baada ya hapo nina machache tu ya kusema
1. Vetting ni ama haipo au...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lakini kama ilivyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uchaguzi ule utabaki katika historia ya wengi sana,utabaki kama ukumbusho wa kilele cha mafanikio ambayo upinzani ulikuwa umefikia katika kuteka mioyo ya watu,ulikuwa ni wakati ambao upinzani ulikuwa hata ukitangaza asubuhi kuwa mchana kutakuwa na mkutano watu...
Wajuzi mnijuze kwanini kanisa katoliki likitoa matamko yake juu ya Serikali huwa yanakuwa na nguvu zaidi kuliko madhehebu mengine?
Mfano tangu sakata la bandari liibuke waraka wa kanisa katoliki ndio ulipata mileage na attention kubwa tofauti na madhehebu mengine ambayo pamoja na kutoa pia...
Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo.
1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.