The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.
Kufuatia baadhi ya Hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kutoa huduma kwa wanachama hao ili waweze kuwa na mwendelezo wa huduma hizo.
Mkurugenzi...
Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi.
Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
Anonymous
Thread
afya
mbovu
nhif
ushauri
viongozi
waziri
waziri wa afya
wivu
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu
Sakata la Hospitali binafsi kuingia mgogoro na NHIF juu ya huduma itolewayo na NHIF kutokidhi gharama halisi ilinaendelea kurindima.
Kinachojitokeza ni kwamba srikali, hasa Wizara ya Afya inaonekana kulega ega katka sekta inyoisimamia.
Waziri wa Afya hatujamsikia...
Wanajukwaa ninaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha mzee wetu Ali Hassan Mwinyi. Familia yake ijawe na faraja na subra katika kipindi chote kigumu. Mungu ailaze roho ya Babu mahala pema peponi tena huko Firdausi.... Aaamin.
Baada ya hapo hata sioni haja ya kutoa maelezo mengi mno...
Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini.
Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
Kwa wateja wengi wa Bima hospitali binafsi ni kimbilio kwa ubora wa huduma zao ukifananisha na hospitali za serikali. Nakumbuka ndugu yangu mmoja alilazwa Temeke kwa dharura, hospitali ilikuwa inaomba kutumia vifaa vyetu kuwapima wagonjwa wengine wa pale. (Kwa ugonjwa uliotulaza kipimo chake...
Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu
Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
Ni vyema Serikali ije na ukweli kuhusu NHIF na siyo maneno tu Shirika limezidiwa,
1. Wanachama mpka sasa ni wangapi?
2. Michango ya NHIF inayokatwa Kwa waajiriawa na waajiri inapelekwa Kila mwezi bila kukosa? Hii ni Kwa Government/Private sectors.
3. Ni kiasi Gani Kwa Mwezi NHIF inakusanya...
Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo.
Je, tuamini...
Imeelezwa vituo vyote Binafsi vya Afya vitasitisha kutoa huduma kwa Wagonjwa wapya wanaotumia Kadi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)kuanzia Usiku wa Saa Sita kuamkia Machi 1, 2024 huku wale ambao watakuwa katika Uangalizi Maalum (ICU) wakiongezewa muda wa Saa 48 kuendelea kupata huduma...
https://www.youtube.com/watch?v=wuinOtEhEjk
YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAPITIO YA KITITA CHA MAFAO CHA NHIF CHA MWAKA 2023
Ndugu wanahabari, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa niaba ya Kamati ya kupitia Kitita cha Mafao cha NHIF cha mwaka 2023, naomba nitoe taarifa...
Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya Waziri na NHIF yameshindwa kupata muafaka katika suala zima la kitita cha bei mpya zilizopendekezwa...
Anonymous
Thread
binafsi
hospitali
kutokana
mgomo
nhif
vifurushi
watangaza
wateja
wenye
NHIF wamekuwa wakitoza tsh 20000 kubadili vitambulisho ambavyo kimsingi walipaswa kuvitoa bure au kwa gharama nafuu zaidi tofauti na ulivyo Sasa.
Umeibuka mtindo wa kufungiwa kadi bila taarifa kwa mteja, kisa kadi Ina uchakavu.
Kwa gharama ya 20000 kwa kadi moja, Ina maana kwa familia ya...
Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini...
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebainisha kuwa umeanza utaratibu wa utambuzi wa wanachama wake kwa alama za vidole kupitia usajili wao wa kitambulisho cha Taifa (NIDA).
Kauli hiyo imetolewa wakati wa kujibu hoja ya Mdau wa JamiiForums aliyedai baadhi ya Wafanyakazi wa NHIF waliopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.