The NHIF Civil Servants Scheme Scandal is an alleged scandal, relating to irregularities that were revealed in the Kenya Civil Servants Scheme at the National Hospital Insurance Fund, in early 2012.The alleged irregularities included payment to ghost clinics, unprocedural selection of clinics and creation of an unapproved unit at the NHIF.The scandal was subject to a probe by the Health Parliamentary Committee. Most of the alleged claims were found to be incorrect with time by various enquiry commissions, however investigations are still going on.
Wanananchi wameombwa kujiunga na huduma za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kwa kuwa ndio suluhisho katika upatikanaji wa huduma za matibabu nchini.
Mbali na hilo, umma umehakikishiwa kuwa NHIF iko imara na inaendelea kujiimarisha ili kufanikisha lengo la kutoa huduma bora kwa wanachama...
Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika.
Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
Si kosa wala si vibaya kuwapa mamlaka ya kiuongozi vijana ili kuandaa viongozi wa kesho wenye weledi katika taifa hili
lakini vijana hawa wanaoaminiwa na taasisi wamekua chanzo cha kuitia hasara serikali na kurudisha nyuma mipango mizuri ya serikali yetu kwa tamaa ya maendeleo ya haraka, uzembe...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) .
“Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi.
Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali.
Nimeshindwa kupatiwa huduma.
Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa.
Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema
Naambiwa...
Kuna rafiki amepata tatizo la kadi ya mtoto anaambiwa haijalipiwa wakati yeye (mlipaji) anatumia ya kwake bila shida. Nimempa namba za hotline nilizokuwa nafahamu, zote hazipatikani?
0800110063
0800111163
Naomba mwenye namba mbadala please.
Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno.
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali ya kijinga Sana yenye kumkerehesha mgonjwa! Mfano wa swali la Leo hii niliulizwa Kama, "hivi...
Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi.
Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
Habari ya jioni wananzengo, polen kwa msongo wa mawazo wale ambao ikifika jumapili jioninkama hivi raha yote inaisha kwa kufahamu kuwa kesho asubuhi "THE CYCLE REPEATS".
Twende kwenye mada na kama kutakua na makosa ya kiuandishi naomba usikwazike, nisamehe bure, jaribu tu kujiongeza.
Haya sasa...
Kumbe si kila anayekwenda hospitali na kadi ya bima ya afya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kupata huduma ni mwanachama wa mfuko huo.
Wapo wanaofanya janjajanja ya kuazima kadi za wanachama na hatimaye kwenda kupata huduma ilhali si stahiki yao.
Hilo linathibitishwa leo Jumanne Julai...
Habari za mchana wandugu? Nina shida moja wakuu nina mjomba wangu amestaafu utumishi wa Umma mnamo mwezi wa 4, 2023.
Baada ya kustaafu mnamo mwezi huu 7,2023 tarehe za mwanzoni ameitwa na Meneja wake na kutakiwa kuwasilisha kadi za NHIF ambazo alipewa akiwa kazini. Naomba kufahamu utaratibu...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko...
Kutokana na kadhia ntayoielezea hapa chini ndio niliyasikia manung'uniko ya wazee, kibaya wazee hawajui kama NHIF ina mkurugenzi mtendaji, wazee wanamjua Mama Samia, lawama zote ni Mama Samia,. Hapa ndio kwa mara ya kwanza nimeone wazee waliokunywa maji ya kijani wakiilaani CCM, na mengine...
Salaam,
Mh. Ummy Mwalimu mwaka 2017 pale mnazi mmoja alizindua Toto Afya kadi kwa lengo la kusajili watoto 10m kati ya 25m walio kuwepo wakati huo ili kunusuru afya za watoto wetu kabla ya maradhi. Kampeni hii ili ishia kushindwa kwa kusajili watoto +240k ambao michango yao ilikuwa si zaidi ya...
NAIBU WAZIRI: HAKUNA MADARAJA KATIKA BIMA YA NHIF
Mbunge Aida Joseph Khenani alitoa hoja kuwa Wananchi wanapokata Bima za Afya za NHIF wanawekewa ukomo wa baadhi ya huduma na dawa wanapofika Hospitali hali inayofanya baadhi waone hakuna umuhimu wa kuwa na Bima hiyo.
Naibu Waziri wa Afya, Dkt...
Habari wakuu
Ni matarajio yangu kuwa kwa kutumia jukwaa hili ujumbe utawafikia walengwa na hatua zitachukuliwa.
Niko katika hospitali ya rufaa ya Bugando ambayo inahudumia wakazi wa mkoa ya Kigoma, Shinyanga, Mara, Mwanza na Kagera.
Mgonjwa wangu anatibiwa kwa Bima ya NHIF tangu September...
Bima kwa Wanafunzi
Overview
NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania.
Students with NHIF...
Dar es Salaam. Wakati ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere ikibainisha wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) walijikopesha Sh41.42 bilioni na kusuasua kuzilipa, menejimenti ya uongozi wa mfuko huo umetoa ufafanuzi.
Katika ripoti hiyo ya...
468 WAFUTIWA UANACHAMA WA NHIF KWA UDANGANYIFU
Na Mwandishi Wetu
Katika kupambana na udanganyifu unaofanywa na wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wasio waaminifu jumla ya wanachama 468 wa mikoa mbalimbali wamefungiwa uanachama wao kutokana na kubainika na matumizi mabaya ya kadi zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.