Nimempeleka bimkubwa katika mojawapo ya hospitali ya serikali hapa jijini Dar.
Ana shida ya mgongo, vidonda vya tumbo, na presha. Leo alipaswa aonwe na madaktari watatu, daktari wa moyo, mifupa na utumbo.
Kwa sababu hospitali hii ina daktari bingwa wa mifupa na daktari bobezi wa moyo...