Habari wakuu
Ni matarajio yangu kuwa kwa kutumia jukwaa hili ujumbe utawafikia walengwa na hatua zitachukuliwa.
Niko katika hospitali ya rufaa ya Bugando ambayo inahudumia wakazi wa mkoa ya Kigoma, Shinyanga, Mara, Mwanza na Kagera.
Mgonjwa wangu anatibiwa kwa Bima ya NHIF tangu September...