Malezi ya Kiafrika yana changamoto sana, licha ya kuwa kila mzazi ana njia zake za kumlea mtoto lakini kwa Afrika huku nyingi zinafanana, ikiwemo kuchapa, kufokea, kutukana, kusemwa vibaya na mengine mengi. Hali imesababisha madhara makubwa kwa watoto wengi na kuharibu tabia kiasi cha kuwa...