Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana!
Shalomu Tanzania!
Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa amri ya kuwauwa watoto wote wa kiume waliotokana na wayahudi wahamiaji wa Kiisraeli katika nchi...
In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana mazima, ten floors tittle kwa jina lake, na 5 floors zikawa titled kwa jina langu,
Je venture, au...
Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote?
kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( Hapa sizungumzii kivuli cha juani...
Kumekua na blah blah nyingi sana kutoka kwa mashabiki wa makolo., kila timu inayofungwa na Yanga kisingizio chao ni kwamba wapinzani wanaongwa
Ukweli ni kwamba katika ile rekodi ya unbeaten kwenye mashindano ya ndani hata makolo pia mmechangia maana mngeweza kuifunga Yanga katika mechi 6...
Kwema Wakuu!
Leo sina mengi ya kuandika,
Watoto wanaimani kuliko watu wazima. Sio ajabu wakaona mambo ni rahisi. Imani ndio kitu pekee kitakachokufanya uone maisha ni Rahisi. Ukiona unayaona maisha ni magumu basi elewa tayari ushaanza kukomaa kiakili. Hiyo ni ishara Namba moja ya mtu...
Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
#Kuna demu nilimla yeye stori zake ni kushinda kanisani, nikaja kugundua rafiki yangu naye anamega, afu pigo zake ni zilezile za Mungu, nikagundua hapa wanapigwa wengi.
#Mwanamke Malaya hujifanya hatoi viashiria vya urafiki kwa wanaume wengine akiwa na mchumba anayemega kwa wakati huo. Wanawake...
Salaam,
Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa.
Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani.
Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani.
Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania.
Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
Habari wana jamvi?
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
Juzi nilikutana na mwanafunzi wangu ambaye kwa Sasa ni Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tulijadili mambo tofauti Ila Moja ya kilichomfurahisha ni namna alivyoaminishwa ni vigumu kwake kuwa Jaji lakini Katika ugumu huo akajikuta jina lake lipo KWENYE vyombo vya habari ameteuliwa Katika...
Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa.
Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim.
Lakini ukweli ni zaidi ya hapo.
Unajua hizi pia ni sifa za masikini?
1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali.
2/uvivu
3/kuridhika na ulichonacho
4/kushindwa kua tofauti na wengine.
5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba.
Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
Sasa ni wakati wa benki kujitanua zaidi na kila mmoja ajitahidi kuwa na akaunti ya benki, japo na wao wana makato Ila haya ya simu ni makubwa mno, yaani kusafirisha milioni wanakata 31,000 kutuma na kutoa.
Sasa nitahamia Benki, au nitasafirisha pesa kwa Gari yaani basi, pia tujitahidi kujiunga...
Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati.
Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini.
Chanzo: TBC...
Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo...
Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli.
Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo.
Aliwadanganya sana kwa mengi na walimuamini sana kama Kinjeketile Ngwale wao na walidanganyika kwa sababu walio wengi hawakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.